Best PC games

Sorry mkuu, namimi natamani kuanza kucheza game kwenye PC, nataka nicheze Fifa 15 ila PC yangu lenovo, Processor Intel (R) celeron (R) CPU 1005M @1.90Ghz na ina ram ya 4gb. Vp kwa specification hizo naweza cheza huo mzigo
pc yako haikidhi mahitaji ya fifa15 download fifa 14 ni jepesi zaidi.
 
kweli inaonekana mnafaidi sana, mpaka na mimi mmenitamanisha haya nasisi tukitaka kufaidi uhondo huo tunaupataje?
 
Nilikuwa nacheza battlefield 2 kufika mission ya sita ikagoma, mwenye kujua tafadhari anisaidie
 
Kwa jinsi inavyoonekana ni kwamba Call of Duty 2 Black Ops huiwezi fananisha na COD 3, Hii Black Ops 2 ni balaa. Achana na akina Yuri na Captain Price au Soap. Huku kuna miamba miwili, ninaposema miamba ni miamba kweli kwenye mapambano.
Kuna :-
1. Frank Woods
2 Alex Mason

Hatari sana hao watu hapo Juu!
kuna jembe menendez
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom