Wewe sikuhizi umekuwa muunga juhudi? 😄😄
Wa wapi sasa! Wa humu JF, au wa kule Lumumba? Maana idadi yenu si haba!
Mkuu unanikoshaga saana! Nje ya CCM wanaccm wengi ni wepesi saaana!Tujikumbushe kidogo kazi zake za sanaa😁😁😁
Hapa alikimbia kampeni yote akaenda kujificha Dubai na baada ya kampeni kuisha akarudi na kutoa hotuba ya matumaini😁View attachment 2170420
Ulishaambiwa kila mtu na ale kwa urefu wa kamba yake!Nchi itatafunwa mpk ikome
Maneno kama haya husemwa na WanaCCM ,au pengine The Utoos 'Tanzania hamnaga upinzani hata CDM wenyewe siwaamini........
siku hizi nimeacha kufatilia siasa nagonga beer tu......
Naona wana undo kila jambo la mwendazake. Safi sanaHalmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho...
Kwa nyazifa ambazo amewahi kuzishika kisiasa hiyo nafasi ni ya chini sana kwake.Anakula ukuu wa idara nyeti ile
Kwamba hata kupata wanachama na mashabiki pia hutegemea polisi?Tatizo sio kuanzisha chama, bali watapata support ya vyombo vya dola? Wanaccm wote wanategemea vyombo vya dola kufanya siasa, ndio maana wakitoka nje ya ccm wanapata shida sana.
Kuchunguza kwa zaidi ya miaka mitatu ni uchunguzi wa aina gani huo? Kama sio umbumbumbu kiwango cha upoyoyo.Hata wauza madawa ya kulevya wametolewa - mama kaagiza wachunguzwe "wakiwa huru" wasije wakaharibu watoto wetu.
Kuna maagizo mengine unasikiliza, unatikisa kichwa unazima TV.
Hivi mama anajua nguvu za wauza madawa ya kulevya?
Hatimaye chama kimerudi kwa wenyewe.Wenye Chama chao taratiiiibu wanarudi
Kumekuchaaaaaaaaaaaaah.
Hizo siasa zinapatikana CCM pekee hapa duniani.Ndiyo unasikia wanaccm wakimpambania jpm hadi Sasa!siasa ni unafiki