Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Kwamba hata kupata wanachama na mashabiki pia hutegemea polisi?

Waambie waanzishe ujue kuwa umma haukuwa upande wao na dhalimu. Usishangae wakawa wakwanza kudai katiba mpya.
 
Ingawa sikuwa shabiki sana wa JPM.... Lakini yanayoendelea kwa sasa ni usaliti kwa Mwendazake wa wazi.
Hao hao walio shangilia wakati wanamfukuza,
NDIO HAO HAO TENA WANA MSHANGILIA AKIWA ANA REJEA CCM.
[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Bongo sihami.
 
chama kinakuwa mali ya mtu flani km kile cha vidole viwili✌
Ukichunguza sana siasa Ndio zilivyo karibu sehemu nyingi Duniani!

Republican na Democrat kule USA wana kitu kinaitwa establishment Ndio walioleta figisu Trump akakosa uraisi kwa kura za Utata.

Uingereza kuna mabwana ( House of lords ) kwa conservative na labour

Nchi nyingine ulaya kuna wafadhili matajiri wakubwa wanatoa pesa kusaidia vyama na wagombea

Russia kuna oligarchs
 
Hata wauza madawa ya kulevya wametolewa - mama kaagiza wachunguzwe "wakiwa huru" wasije wakaharibu watoto wetu.
Kuna maagizo mengine unasikiliza, unatikisa kichwa unazima TV.
Hivi mama anajua nguvu za wauza madawa ya kulevya?
unaweka Mtu ndani miaka 10 bila kesi,,,why ,how?kama hakuna ushahidi waachiwe tu
 
Waambie waanzishe ujue kuwa umma haukuwa upande wao na dhalimu. Usishangae wakawa wakwanza kudai katiba mpya.
Unazungumzia ule umma uliyokwenda kwenye mazishi ya mwamba?
 
Haya majamaa nakumbuka yalivyokuwa yanashangilia na kumpongeza mwendazake kumfuta uanachama huyu mwamba. Siamini leo hii yanashangilia kurudishwa kwake huku yakimsifia mama anaupiga mwingi.
Roho za visasi zimewatawala na kushika mioyo yao.. ...hapa ndipo shida ilipo
 
Hicho kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kimekaa lini na kufanya maamuzi hayo!? Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka ameshaujulisha umma? Chanzo cha taarifa hii ni kipi?

Tusije ingia wazima wazima kwa kuwa leo tarehe 1 Aprili ni siku ya wajinga na wasiopenda kujiongeza.
 
Soon atapewa uwaziri wa mambo ya nje,ili asaidie kurudisha mahusiano. Timu Magu roho zinawauma ila Basi tu
 
Back
Top Bottom