Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Tujikumbushe kidogo kazi zake za sanaa😁😁😁

Hapa alikimbia kampeni yote wakati ule wa kampeni akaenda kujificha Dubai na baada ya kampeni kuisha akarudi na kutoa hotuba ya matumaini😁
 
ACT wazalendo kama Chadema tu…wagombea wao wa Urais walikopeshwa na CCM
 
Hao hao walio shangilia wakati wanamfukuza,
NDIO HAO HAO TENA WANA MSHANGILIA AKIWA ANA REJEA CCM.


Bongo sihami.
CCM Ni watu wa ajabu sana,yaani hawaeleweki Kama nywele.
 
Rais mwenye maungo ya mwanamke atakubali kuutema mzigo?
Anatulizwa Tu na wenye nchi Yao tena ni mwepesi Sana kwasababu watatumia ustaarabu Tu kumwomba aachie madaraka.
Yote yanawezekana chini ya mastermind Mzee wa msoga
 
Back
Top Bottom