Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Yule J K ni mwamba.Alipo ambiwa na Mnyika kuwa yeye ni dhaifu alimwacha tuu.JK sio mtu wa small deals ni mtu wa big deals.😀😀😀😀😀

Sasa safu nzima ni yake duh! Maisha ni safar ndefu.

Majaliwa sijamsikia mdaa.
 
Sukuma gang na MATAGA kama wana akili, wangeanzisha chama chao mapema kwa ajili ya 2025!

Wakiupuuza huu ushauri wangu, basi wengi watakufa kwa presha! Maana hakuna namna.

watafika wapi na hiko Chama Chao? ni bora wakakubali matokeo ili kulinda position walizonazo la sivyo watakosa kila kitu!!
 
Back
Top Bottom