Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Ukichunguza sana siasa Ndio zilivyo karibu sehemu nyingi Duniani!

Republican na Democrat kule USA wana kitu kinaitwa establishment Ndio walioleta figisu Trump akakosa uraisi kwa kura za Utata.

Uingereza kuna mabwana ( House of lords ) kwa conservative na labour

Nchi nyingine ulaya kuna wafadhili matajiri wakubwa wanatoa pesa kusaidia vyama na wagombea

Russia kuna oligarchs
Mifumo yaki masikin hiyo Ulaya hamna Siasa za ulaya zipo wazi Serikali zao zinaendesha kwa uwazi ndiyo maana viongozi wao wakistaafu huwezi kuwakuta wanaomba kuteuliwa tena wao wanafanya shughuli zao zakusaidia jamii mfano Mama Salma alikuwa na Taasisi yake yakusaidia watoto wakike Leo hii huisikii tena kwasababu ilikuwa kichaka cha wizi na utapeli haiwezekani Mke wa Raisi ukapewa ubunge na ukakubali jinsi gani inavyo onyesha viongozi wajinga Mke wa Lowasa alipewa Ubunge wa Vitimaalum lakin yeye aliukataa kwasababu yeye ana jielewa nafasi aliyokuwa nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanachama na Kuna wenye chamasijui naeleweka😳😳😳
 
Back
Top Bottom