Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

Hakuleta faida yoyote upinzani aende tu.

Hakuisumbua CCM kwenye uchaguzi maana hakuwa na mvuto kwa watanzania. Arudi tu CCM.
 
Hivi ni vigezo gani wanatumia kusamehe watu ambao walihama chama?
 
Wadai katiba mpya tu
Tatizo sio kuanzisha chama, bali watapata support ya vyombo vya dola? Wanaccm wote wanategemea vyombo vya dola kufanya siasa, ndio maana wakitoka nje ya ccm wanapata shida sana.
 
Ila huyu mzee muhuni Sana,kipindi Cha kampeni za uraisi zimeanza na yeye Ni mgombea wa ACT yeye kasafiri kaacha taharuki huku!
🤣🤣🤣Baada ya kampeni akarudi akawa anasimulia jinsi ataapishwa kuwa Rais😁
 
Hata wauza madawa ya kulevya wametolewa - mama kaagiza wachunguzwe "wakiwa huru" wasije wakaharibu watoto wetu.
Kuna maagizo mengine unasikiliza, unatikisa kichwa unazima TV.
Hivi mama anajua nguvu za wauza madawa ya kulevya?
Sasa wewe unamtenganisha vipi mama na hao wauzaji!?
 
Hata wauza madawa ya kulevya wametolewa - mama kaagiza wachunguzwe "wakiwa huru" wasije wakaharibu watoto wetu.
Kuna maagizo mengine unasikiliza, unatikisa kichwa unazima TV.
Hivi mama anajua nguvu za wauza madawa ya kulevya?
Ushawahi kutumia hizo dawa?
 
#Updates CCM YAMSAMEHE MEMBE NA KUMRUDISHIA UANACHAMA WAKE.

Fahamu kuwa Halmashauri kuu ya CCM leo Alhamisi Machi 31, 2022 imemsamehe na kumrudishia uanachama wake Bernad Membe ambao uliondolewa Februari mwaka 2020 kwa makosa ya kinidhamu hii ni baada ya kuomba kuandika barua ya kuomba msamaha zaidi ya mara tatu.
 
Tanzania hamnaga upinzani hata CDM wenyewe siwaamini........
siku hizi nimeacha kufatilia siasa nagonga beer tu......
 
Back
Top Bottom