Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,843
Sikiliza Akilinjema ndiyo maana sehemu nyingi Tanzania,Afrika masharika,Afrika na hata ulimwenguni ukiitwa "mswahili" basi umetukanwa sana Ubatizo wa moto ni tabia za kejeli Waswahili kwa ajili ya kulinda maslahi yao.
Uliandika wewe mwenyewe kuwa ulikuwa na boyfriend wakoNilikuwa na mama yako nikamwambia huu mzoga utakuwa rais akaamini
TUwape mikeka na waliaji wa kukodi ama mnajitosheleza? Miwani myeusi mnayo?Kama ilivotulia march sio π
ππππKama ilivotulia march sio π
Wazee wanakabidhiwa mwili. Hii ni mila ya kule au kuna mengine? Kwa masaa kadhaaaRatiba km ratiba.
Tena officials!!!View attachment 2620162
Makamba anaorodha ya watu wema wasiokufa na wachache aliwataja dodoma
Tutafahamu pindi wazee wakikabidhiwa mwili huo.Wazee wanakabidhiwa mwili. Hii ni mila ya kule au kuna mengine? Kwa masaa kadhaaa
Wema eti hawafi....haya ngoja tuone
ππππLabda mzee makamba alisahau kumuorodhesha membe miongoni mwa watu wema tanzania ndio maana amekufa
Duh π !Deni halilipwi hata sent na mtu atakayejitia kihelehele kudai anasepa
Jamaa amenda kijijini kulima na anasali
Mpaka mahakama imefuifuta yono
Kweli kabisa !Taifa linahitaji uponyaji! Seriously! Mama Samia ana mzigo mzito sana kuweka sawa mambo ili visasi vikome. Ukisoma comments mitandaoni unapata picha halisi nini kinaendelea kwenye jamii.
TUwape mikeka na waliaji wa kukodi ama mnajitosheleza? Miwani myeusi mnayo?
Alaumiwe kwa kusahau kuandika jina la kachero mbobezi[emoji16]
Amen. Ndio njia yetu sote. Ingawa wengine wanasema wao wema. HawatakufaMay His Soul Rest In Eternal Peace.
Ratiba km ratiba.
Tena officials!!!View attachment 2620162
Halafu baadae itakuwaje kama ina shida? Mbona kuna vifo vimeelezwa kirahisi na tumeelewa.Naomba mwili wa Kachero Membe ufanyiwe ukaguzi makini (pastimotamu) na madakitari huru kabla ya kuzikwa. Kauli ya Msaidizi wake Bollen Ngetti kupitia BBC ina shida. Mtaniambia.
ππππππYono kapigwa biti katoka mbio π€£