Karibuni masijala
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 409
- 135
pumba anazo yule ambaye anakimbia kivuli chake,anayetaka kuuaminisha umma kwamba hatumiwi wakati huo huo maelezo yake yanajifunga,soma vizuri maelezo ya mchange utaelewa maana kamaliza kila kitu.bado sijafunguka nitakapo amua kufunguka nitafunguka kivingine,ila kwa leo dozi ya mchange inatosha
Hivi mbona BEN ajakana hilo?
Amekiri kuwa alikuwa mmoja wa wanakikundi, na kwa sasa amesaliti na wote tunalijua hilo kupitia humu kuwa kulikuw akuna kikundi ila hatukujua ni wakinanani wapo huko na wanafadhiliwa na nani?
na mapka sasa hatujajua labda waje hapa hao PM7 watuambie mfadhili wao ni nani?
ni nani aliye wapa vifaa vya rtekodiana maana inaonekana hili kundi lilikuwa likikutana na wote wanakuwa wapo full nondo kila mtu ni shushu na kifaa chake cha kurekodia wenzie.
'Mie simlaumu ZZK bali nawalaumu watu walioshirikiananae ktk maisha ya kijamii hasa shuleni huko TOSAMAGANGA na UDSM kwa kumumlea vibaya alitakiwa awe ameshafundishwa toka huko mashuleni na kwa jamii alioishinayo..lkn kwasasa ni ngumu sababu kwa umri huu busara inatumika zaidi na watu wa design yake hawafundishiki kwa busara'
Kwani maswali umeulizia mafichoni?si umeuliza kwenye public au?Na mm nimekuuliza maswali nijibu.
Heshima mbele,kama huna hoja kaa kimya kuliko hali hii uliyonayo umeloa
Ukiangalia kwa undani ni sisi ndio tunawavibisha kichwa hawa Vijana wasio na uwezo wowote wala karama ya Uongozi, nadhani sasa ni wakati wangu muhafaka kupumzika jukwaa hili na nirelax MMU mpaka mwakani, naona ujinnga ujinga tu hapa.too bad indeed,,,
so so childish mind..
Upande wa Sheikh Ponda na wala Ubwabwa.Upande gani mkuu wa kaskazini au kanda zingine...mwaka huu mtatoana roho.
Hiyo team inaonekana ilikaa mahala ndio maana wana mipango yote tusubiri!!!pumba anazo yule ambaye anakimbia kivuli chake,anayetaka kuuaminisha umma kwamba hatumiwi wakati huo huo maelezo yake yanajifunga,soma vizuri maelezo ya mchange utaelewa maana kamaliza kila kitu.bado sijafunguka nitakapo amua kufunguka nitafunguka kivingine,ila kwa leo dozi ya mchange inatosha
pumba anazo yule ambaye anakimbia kivuli chake,anayetaka kuuaminisha umma kwamba hatumiwi wakati huo huo maelezo yake yanajifunga,soma vizuri maelezo ya mchange utaelewa maana kamaliza kila kitu.bado sijafunguka nitakapo amua kufunguka nitafunguka kivingine,ila kwa leo dozi ya mchange inatosha
Mkuu naona wewe umeisha jichagulia sehemu katika haya makundi angalia lakini.
Upande gani mkuu wa kaskazini au kanda zingine...mwaka huu mtatoana roho.......
Inaonyesha una hasira sana..... Punguza hasira na ulete hoja badala ya kutokwa na povu.... Ni kwa nini vijana wasomi kama nyie mmeamua kijidhalilisha na kudhalilisha chama kiasi hiki? hivi nyie ndio mnao jinasibu kuwa mtakuja kiongoza hii nchi?.........
Ni kwa sababu niliipima akili yake na kujua anachokitaka, na nisingeweza kumkimbia mapema kwa sababu angewasingizia mambo mengi sana wenzake.
Mpaka sasa baadhi ya viongozi wa chama wananichukia sana mimi, wanamchukia mwampamba na wengine, lakini hii ni kwa sababu ya uwongo waliokuwa wakilishwa na SAA NANE, yeye alikuwa anatuita tupumzike ama tupige story, halafu anakibadilisha kinakuwa kikao cha mikakati ya PM7 halafu anaanzisha maada za kujadili kisha anawarekodi na kupeleka kwa hao baadhin ya viongozi, masikini ya mungu viongozi wetu wanaamini na kuanza kuwaona wenzao waongo nakadharika.
Hii ni aina mbaya sana ya kufanya strugle, sisi hapa adui yetu ni CCM tu, tunavyopoteza muda kurekodiana wenyewe kwa wenyewe haisaidii kitu.
Muda alioutumia SAA NANE kuturekodi ili akauze habari angeutumia kufanya maswala ya msingi kwa chama hakika tungezidi kuwa mbali.
Lakini ndio hivyo tena njia ya mwongo fupi, na kila kitu sasa kipo hadharani.....NAENDELEA KU-COMPILE MANENO YAKE NILIYOMREKODI AKISISITIZA UANZISHWAJI WA PM7 NITAYAWEKA HUMU KILA MTU AMUELEWE SAA NANE NI NANI.......
unamtia aibu sana aliyekutuma,
kama wewe mwenyewe ndo muhusika unajitia aibu kupita kiasi,
umekua mzito kujenga hoja kutetea hichi mlichokusudia kukitetea.
Hii mitandao ya kijamii inawatia aibu sana. acheni huu upuuzi.
Maslahi binafsi hayawezi kufanikiwa mbele ya wanaharakati wengi wenye nia dhabiti........