Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

asante sana kamanda mchange kwakuleta huu ufafanuzi,maana haya uliyoyaandika ndiyo nilkiyotaka kuyatolea ufafanuzi japo bado nitatoa ufafanuzi wangu kuhusu hizi shutuma ambazo kwangu mimi nachokiona ni sawa na mtu kuchimba shimo halafu akatumbukia yeye mwenyewe,suala la ben kutumiwa kimkakati katika harakati zakumchafua zitto na sisi ambao wao hutuita masalia wala halijaanza leo,huu ni mkakati unaoratibiwa dhidi ya zitto pamoja na vijana ambao wanamuunga mkono zitto,nazidi kusisitiza kwamba ben saanane anatumia uongo kuuaminisha umma kwamba anamfahamu zitto kitu ambacho hata nafsi yake nina hakika inamsuta.ben acha kukimbia kivuli chako,sio rahisi kumchafua zitto kama unavyoweza kudhani,japo mnajitahidi sana lakini hamtofanikiwa.palipo ukweli uwongo hujitenga .

Juliana,Nawewe unakuja na mengine juu ya Ben saanane.?
Mnataka kumvua nguo hadharani nini?
Lakini kwasababu amekuhusisha kwenye igizo lake hili sasa mpe kile anachotakiwa kukipata
 
Bw. Mchange, nina kaswali kamoja tu kadogo.
Kama ulishambaini Saa Nane kuwa mtu wa hatari, mbona uliendelea kuwasiliana naye? Mimi watu kama hao huwa nawapotezea mara moja, lakini inaonekana umeendelea kuwa na mawasiliano ya karibu na mtu huyu ambaye tangu mwanzo hukumwamini.

Saanane ndiyo kazi yake hapa mjini,Analazimisha kuonana na watu???duhh huyu kijana hatari ndani ya chama
 
Ughaibuni watu kama Ben saanane wanapigiliwa misumari kwenye mbao za matangazo.Ni hatari kwa taifa kuwa na vijana wadogo wanaosafirisha umbea kuwavuruga viongozi wa kitaifa.
 
Vita ni vita muraa. Tutafika tu kwenye Standard Temperature and Pressure(S.T.P). Baada ya kudokoa nyama gizani, wameanza kutajana hadharani.
 
asante sana kamanda mchange kwakuleta huu ufafanuzi,maana haya uliyoyaandika ndiyo nilkiyotaka kuyatolea ufafanuzi japo bado nitatoa ufafanuzi wangu kuhusu hizi shutuma ambazo kwangu mimi nachokiona ni sawa na mtu kuchimba shimo halafu akatumbukia yeye mwenyewe,suala la ben kutumiwa kimkakati katika harakati zakumchafua zitto na sisi ambao wao hutuita masalia wala halijaanza leo,huu ni mkakati unaoratibiwa dhidi ya zitto pamoja na vijana ambao wanamuunga mkono zitto,nazidi kusisitiza kwamba ben saanane anatumia uongo kuuaminisha umma kwamba anamfahamu zitto kitu ambacho hata nafsi yake nina hakika inamsuta.ben acha kukimbia kivuli chako,sio rahisi kumchafua zitto kama unavyoweza kudhani,japo mnajitahidi sana lakini hamtofanikiwa.palipo ukweli uwongo hujitenga .
Juliana Shonza napenda utuambie watanzania kuwa 1. kwa nini ulishiriki kwenye kikundi hichi? 2.Je mlikua mna matarajio gani ndani ya kikundi hichi? 3. kwa nini haukuwa tayari kuanika haya kabla ya nyie kupishana na Saa nane??
 
Last edited by a moderator:
BEN SAANANE NJOO HAPA,
Wewe ni muaisis wa kundi la kupindua chama ambalo baadae likakukimbia,Kwanini unakihujumu chama kiasi hiki?
Pesa za mahotelini huwa unatoa wapi?
Kiongozi gani mkuu ndani ya chadema anakutumia
 
Juliana Shoza napenda utuambie watanzania kuwa 1. kwa nini ulishiriki kwenye kikundi hichi? 2.Je mlikua mna matarajio gani ndani ya kikundi hichi? 3. kwa nini haukuwa tayari kuanika haya kabla ya nyie kupishana na Saa nane??
Juliana shonza naona alikimbia baada ya kuona kikundi niha kihuni,Muasisi Ben saanane.
 
MCHANGE,Habari.
Hivi ni kwanini wewe na Ben saanane hamuelewani,?
Kwanini Dr.slaa anakuogopa sana wewe?Unatabia gani ya kuwafanya wakukimbie.
Hongera kwa kumuanika Ben saanane na usaliti wake,Umenikumbusha INDIA alivyowasaliti watanzania wenzake.
 
BEN SAANANE NJOO HAPA,
Wewe ni muaisis wa kundi la kupindua chama ambalo baadae likakukimbia,Kwanini unakihujumu chama kiasi hiki?
Pesa za mahotelini huwa unatoa wapi?
Kiongozi gani mkuu ndani ya chadema anakutumia

Huyo atakua anatumiliwa na mashetani na majini sipendi hata kumuona msaliti huyo
 
mbona mimi nimemuelewa vizuri sana mkuu, kama anasema kuwa SAA NANE amewaingiza KING WENZIE sasa anataka kuwaacha kwenye mataa.
tuvute subira tusikie mengi zaidi

ben hawezi kumuingiza mtu yeyote king kati ya hao anaowataja yeye mwenyewe anajua ,anachofanya ni kutoa report ya uwongo kwa wale waliomtuma ili aonekane amefanikiwa kutimiza lengo.kitu ambacho si kweli.ukweli utajulikana tu.
 
  • Thanks
Reactions: PhD
MCHANGE,Habari.
Hivi ni kwanini wewe na Ben saanane hamuelewani,?
Kwanini Dr.slaa anakuogopa sana wewe?Unatabia gani ya kuwafanya wakukimbie.
Hongera kwa kumuanika Ben saanane na usaliti wake,Umenikumbusha INDIA alivyowasaliti watanzania wenzake.
Taswira,
Wewe umejulia wapi kwamba Dr. Slaa anamwogopa Mchange? Au ndiyo yale yale ya kuchafua uongozi wa chama?
 
Vita ni vita muraa. Tutafika tu kwenye Standard Temperature and Pressure(S.T.P). Baada ya kudokoa nyama gizani, wameanza kutajana hadharani.

Kwa kutumia acount zao au fake?
Ben saanane ni wakupelekwa pale mnazimmoja square na unamgeuza kitoweo.Hawezi akawa mtanzania wa jabu huyu,India aliwasaliti na kukimbia fedha za watanzani wenzake aliokuwa nasoma nao kule.\
Chadema amekuja kikazi zaidi kuvuruga chama.Jina litambeba lakini OMAN huyu wanampiga shaba
 
Taswira,
Wewe umejulia wapi kwamba Dr. Slaa anamwogopa Mchange? Au ndiyo yale yale ya kuchafua uongozi wa chama?

Nimeuliza tu mkuu,Ni yale ninayosikia mtaani tu na kwenye mitandao.Kama nimekukosea kumradhi.Lakini swali lipo pale pale
 
kama alivyosema mchange ndivyo, basi naona saa nane anatakiwa atoe ufafanuzi zaidi kuhusu hii mipango yao. vinginevyo watakiingiza chama kwenye migogoron isiyokwisha na kutufanya sisi tusio wanachama kuendelea kudharau bupinzani. kuna haja ya vijana wetu kuanza kufundwa kisiasa

Mchange kama unanamba ya ben saanane tunaomba umwambie aje hapa,
Naona amevuliwa nguo leo,Mnafiki ni mnafiki tu
 
  • Thanks
Reactions: PhD
naona kama unataka kututoa kwenye mjadala vile?..samahani lakini, hao uliowataja sioni kama wana husiana na masala yaliyoandikwa hapa saana ukiondoa bwana mchange ambaye ni mtoa mada. ukianza habari za hivyo unakuwa tayari umechagua upande na hautaweza kujadili kwa haki...hebu tuendelee kujadili huu mtanange wa kambi mbili zinazokinzana

Mjadala gani sasa? Hapa hakuna mjadala, jambo liko wazi kwamba Zito kachafuka kwa kuhusishwa na conspiracies za kuhusu kuvuruga chama chake. Mi naona storyline zote za pande mbili zinakubaliana katika hilo. Wanachotofautiana ni kwamba upande mmoja wa akina Saanane umetubu na kukiri wazi, upande mwingine upo kwenye denial, self righteous na hautaki kutubu.
 
  • Mzee Mwanakijiji, Mzee mwanakijiji Hulali huko ughaibuni.Au unaangalia kwa huzuni taifa lilivyopata vijana hatari ka Ben wa sanane?
 
Nilisema kuweni watulivu msihukumu mwisho wa siku wengi watajikuta wamevaa nguo ya ndani usoni na ni mchana kweupe kwa kushabikia vitu vya mitandaoni,ukweli upo jirani sana kufichuka, wakubwa waliondaa hili zengwe tena viongozi wakubwa kabisa mbioni watakaa uchi.
 
Mjadala gani sasa? Hapa hakuna mjadala, jambo liko wazi kwamba Zito kachafuka kwa kuhusishwa na conspiracies za kuhusu kuvuruga chama chake. Mi naona storyline zote za pande mbili zinakubaliana katika hilo. Wanachotofautiana ni kwamba upande mmoja wa akina Saanane umetubu na kukiri wazi, upande mwingine upo kwenye denial, self righteous na hautaki kutubu.

Mkuu kunasehemu umeona Zitto amehusika na kuonana au kuzungumza au kufanya chochote na kikundi hicho au hao vijana?
Zitto hahusiki na huu upuuzi,Sema uimara wake kisiasa Ben saanane akaona ni muhimi aushushe kwa aina hii aliyoihagua.
 
Bw. Mchange, nina kaswali kamoja tu kadogo.
Kama ulishambaini Saa Nane kuwa mtu wa hatari, mbona uliendelea kuwasiliana naye? Mimi watu kama hao huwa nawapotezea mara moja, lakini inaonekana umeendelea kuwa na mawasiliano ya karibu na mtu huyu ambaye tangu mwanzo hukumwamini.
Ni kwa sababu niliipima akili yake na kujua anachokitaka, na nisingeweza kumkimbia mapema kwa sababu angewasingizia mambo mengi sana wenzake.

Mpaka sasa baadhi ya viongozi wa chama wananichukia sana mimi, wanamchukia mwampamba na wengine, lakini hii ni kwa sababu ya uwongo waliokuwa wakilishwa na SAA NANE, yeye alikuwa anatuita tupumzike ama tupige story, halafu anakibadilisha kinakuwa kikao cha mikakati ya PM7 halafu anaanzisha maada za kujadili kisha anawarekodi na kupeleka kwa hao baadhin ya viongozi, masikini ya mungu viongozi wetu wanaamini na kuanza kuwaona wenzao waongo nakadharika.

Hii ni aina mbaya sana ya kufanya strugle, sisi hapa adui yetu ni CCM tu, tunavyopoteza muda kurekodiana wenyewe kwa wenyewe haisaidii kitu.

Muda alioutumia SAA NANE kuturekodi ili akauze habari angeutumia kufanya maswala ya msingi kwa chama hakika tungezidi kuwa mbali.

Lakini ndio hivyo tena njia ya mwongo fupi, na kila kitu sasa kipo hadharani.....NAENDELEA KU-COMPILE MANENO YAKE NILIYOMREKODI AKISISITIZA UANZISHWAJI WA PM7 NITAYAWEKA HUMU KILA MTU AMUELEWE SAA NANE NI NANI
 
Back
Top Bottom