Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

asante sana kamanda mchange kwakuleta huu ufafanuzi,maana haya uliyoyaandika ndiyo nilkiyotaka kuyatolea ufafanuzi japo bado nitatoa ufafanuzi wangu kuhusu hizi shutuma ambazo kwangu mimi nachokiona ni sawa na mtu kuchimba shimo halafu akatumbukia yeye mwenyewe,suala la ben kutumiwa kimkakati katika harakati zakumchafua zitto na sisi ambao wao hutuita masalia wala halijaanza leo,huu ni mkakati unaoratibiwa dhidi ya zitto pamoja na vijana ambao wanamuunga mkono zitto,nazidi kusisitiza kwamba ben saanane anatumia uongo kuuaminisha umma kwamba anamfahamu zitto kitu ambacho hata nafsi yake nina hakika inamsuta.ben acha kukimbia kivuli chako,sio rahisi kumchafua zitto kama unavyoweza kudhani,japo mnajitahidi sana lakini hamtofanikiwa.palipo ukweli uwongo hujitenga .

Juliana Nakuheshimu sana

Umejiunga usiku huu na hii ni Post yako ya kwanza ili uweze kujiunga na wenzio wa Masalia kumtetea Zitto. Karibu sana lakini jua kuwa humu ni mahali pa kujenga hoja sio Porojo.

Nimeona post yako Facebook jioni hii ukianzia kule kumtetea Zitto na mlikuwa kimya wote nyie tangu juzi alipotoa hoja ya kwanza Exaud Mamuya. Unaweza kusema mlikuwa wapi hadi wote mnaibuka leo siku mbili baadae kwenye thread hii ya Mchange katika kujibu hoja?

Ni kwanini hamjibu kile alichokieleza Ben Saanane na badala yake mnamshambulia yeye na sio hoja yake aliyoitoa ili tupate ufafanuzi? Umemaliza Chuo Kikuu majuzi, bado hamkufundishwa namna ya kujibu hoja? Elimu yako imekusaidia nini???

Unaweza kusema toka moyoni mwako mara ya mwisho kuongea kwa simu na bosi wako Zitto ilikuwa usiku huu saa ngapi?? mmejadiliana nini kuhusu kutoa majibu haya hadi wote nyie muingie usiku huu wa manane kwa mpigo? Ni coincidence au??

Kwanini wewe na Mchange mmeshikia bango sana kuwa Saanane hjawahi kuonana na Zitto??? kunanini hapo hadi mng'ang'anie hiyo hoja? Mbona hamzungumzii swala la nyie kupelekwa kwa mganga kulishwa yamini??

Kwa ujumla kuja kwenu huku wewe na masalia wenzio kwa pamoja usiku huu wa manane kunaleta maswali mengi kuliko majibu mnayotoa ambayo ni dhaifu kihoja. Ni bora zaidi kukaa kimya ili kuficha upumbavu kuliko kuuanika hadharani!

Samahani lakini!
 
Last edited by a moderator:
Nilisema kuweni watulivu msihukumu mwisho wa siku wengi watajikuta wamevaa nguo ya ndani usoni na ni mchana kweupe kwa kushabikia vitu vya mitandaoni,ukweli upo jirani sana kufichuka, wakubwa waliondaa hili zengwe tena viongozi wakubwa kabisa mbioni watakaa uchi.

Walioandaa hii tamthilia ya kumchafua zitto naona walipo wanahaha.Nasubiria Juliana shonza na mwampamba nao wamwanike mhusika hapa
 
ben hawezi kumuingiza mtu yeyote king kati ya hao anaowataja yeye mwenyewe anajua ,anachofanya ni kutoa report ya uwongo kwa wale waliomtuma ili aonekane amefanikiwa kutimiza lengo.kitu ambacho si kweli.ukweli utajulikana tu.

Kacheza kekundu kwenye cheupe, TISS haichezewi hovyo hovyo hata kama kuna watu hawaipendi, huyu dogo BENN atajuta baada ya hapa
 
Wote traitors sasa...mwenye ushahidi ndo aongee...kama kuna aliye na sound proof thats much better
 
kweli ndugu yangu. tena kama kijana unakubali kwenda kuwarekodi vijana wenzako kisa ujira wa mwiha, itatutengenezea taifa bovu sana..labda saa nane awe anasingiziwa na leo

Mbona huu uzi umeukomalia sana? And ur so biased! Ur not commenting as a great thinker! Kwa siasa kama hizi hatufiki popote
 
Juliana Nakuheshimu sana

Umejiunga usiku huu na hii ni Post yako ya kwanza ili uweze kujiunga na wenzio wa Masalia kumtetea Zitto. Karibu sana lakini jua kuwa humu ni mahali pa kujenga hoja sio Porojo.

Nimeona post yako Facebook jioni hii ukianzia kule kumtetea Zitto na mlikuwa kimya wote nyie tangu juzi alipotoa hoja ya kwanza Exaud Mamuya. Unaweza kusema mlikuwa wapi hadi wote mnaibuka leo siku mbili baadae kwenye thread hii ya Mchange katika kujibu hoja?

Ni kwanini hamjibu kile alichokieleza Ben Saanane na badala yake mnamshambulia yeye na sio hoja yake aliyoitoa ili tupate ufafanuzi? Umemaliza Chuo Kikuu majuzi, bado hamkufundishwa namna ya kujibu hoja? Elimu yako imekusaidia nini???

Unaweza kusema toka moyoni mwako mara ya mwisho kuongea kwa simu na bosi wako Zitto ilikuwa usiku huu saa ngapi?? mmejadiliana nini kuhusu kutoa majibu haya hadi wote nyie muingie usiku huu wa manane kwa mpigo? Ni coincidence au??

Kwanini wewe na Mchange mmeshikia bango sana kuwa Saanane hjawahi kuonana na Zitto??? kunanini hapo hadi mng'ang'anie hiyo hoja? Mbona hamzungumzii swala la nyie kupelekwa kwa mganga kulishwa yamini??

Kwa ujumla kuja kwenu huku wewe na masalia wenzio kwa pamoja usiku huu wa manane kunaleta maswali mengi kuliko majibu mnayotoa ambayo ni dhaifu kihoja. Ni bora zaidi kukaa kimya ili kuficha upumbavu kuliko kuuanika hadharani!

Samahani lakini!

Kwa hiyo wewe ulitaka juliana akae kimya?kwani hajatajwa hapa.Julina hana watu wa kumwambia kinachoendelea hapa jf?
Ben saanane aseme ni wapi alikutana na ZItto kama mAMUYA ALIVYOSEMA kuwa walikutana ARusha.
Ujue ben saanane ni mwongo kiasi gani.
 
Wazee wenyewe wamekaa kimya..tunaangalia.

Baadhi ya hao wazee wanahusika kwenye mgogoro huu kwa hofu ya madaraka yao, wamekwishaandaa first ladies wa kwenda nao IKULU sasa hata mawazo ya vijana wachumia tumbo wanayakubali alimradi ni ya kuwapamba wao.
 
Juliana shonza naona alikimbia baada ya kuona kikundi niha kihuni,Muasisi Ben saanane.

we ndio msemaji wake Juliana Shonza ama ni yeye mwenyewe na hii ni akaunti yako feki??

Nimesoma post zako nyingi hapa unanipa mashaka nahisi uko mmoja wa 'Masalia' katika zile id feki 20
 
Last edited by a moderator:
Baadhi ya hao wazee wanahusika kwenye mgogoro huu kwa hofu ya madaraka yao, wamekwishaandaa first ladies wa kwenda nao IKULU sasa hata mawazo ya vijana wachumia tumbo wanayakubali alimradi ni ya kuwapamba wao.

Wewe polepole,Naona unafichua mambo wakati bado mapema watoto hawajalala
 
halafu ww mzee mwanakijiji unaniuzi na tabia yako hiyo!!!hiyo ya kukataa kukoment,tangu jana na kufuatilia lakini umekuwa kiburi kwelikweli au na wewe umenunuliwa!!!utani bana. Lakini naitaji kauli yako kwenye haya masumbwi

Kawaida ya mzee ni kwamba kauli yake huwa niya kufunga dimba.mwache ashuhudie akina saanane na viongozi wa juu wanavyoumbuka hapa kwa kumchafua kiongozi mwezao Zitto
 
ben hawezi kumuingiza mtu yeyote king kati ya hao anaowataja yeye mwenyewe anajua ,anachofanya ni kutoa report ya uwongo kwa wale waliomtuma ili aonekane amefanikiwa kutimiza lengo.kitu ambacho si kweli.ukweli utajulikana tu.
Juliana Shonza kwa nini hujibu maswali niliyokuuliza hapo juu?
sitaki kuamini kuwa emefikia kiwango chako cha mwisho cha kutamka ukweli.
 
Last edited by a moderator:
we ndio msemaji wake Juliana Shonza ama ni yeye mwenyewe na hii ni akaunti yako feki??

Nimesoma post zako nyingi hapa unanipa mashaka nahisi uko mmoja wa 'Masalia' katika zile id feki 20

Kwani maswali umeulizia mafichoni?si umeuliza kwenye public au?Na mm nimekuuliza maswali nijibu.
Heshima mbele,kama huna hoja kaa kimya kuliko hali hii uliyonayo umeloa
 
Kacheza kekundu kwenye cheupe, TISS haichezewi hovyo hovyo hata kama kuna watu hawaipendi, huyu dogo BENN atajuta baada ya hapa

Atavuna kazi aliyoipanda,amejidhalilisha sana.Kutumika na kuramba miguu ya watu?
 
Wote traitors sasa...mwenye ushahidi ndo aongee...kama kuna aliye na sound proof thats much better

Nadhani wakimaliza wote kujibu Mwampamba na Juliana ndipo utapata jibu kamili chadema kunanini??Na nikwanini watu wanapingwa vikali ndani ya chadema.
Subiria majibu ya Kitila mkumbo ndipo utamjua Ben saanane ni nani.Hapo hutapenda kulisikia jina lake tena.
 
kama ben anasema amerudi kundini baada yakuwa muasi basi anatumia uwongo ule ule aliokuwa anautumia wakujirekodi yeye mwenyewe mipango na mikakati yake na kisha kuwapelekea wahusika kwamba ni mipango ya masalia kuvuruga chama.that is nonsense
 
ni kwa sababu niliipima akili yake na kujua anachokitaka, na nisingeweza kumkimbia mapema kwa sababu angewasingizia mambo mengi sana wenzake. mpaka sasa baadhi ya viongozi wa chama wananichukia sana mimi, wanamchukia mwampamba na wengine, lakini hii ni kwa sababu ya uwongo waliokuwa wakilishwa na SAA NANE, yeye alikuwa anatuita tupumzike ama tupige story, halafu anakibadilisha kinakuwa kikao cha mikakati ya PM7 halafu anaanzisha maada za kujadili kisha anawarekodi na kupeleka kwa hao baadhin ya viongozi, masikini ya mungu viongozi wetu wanaamini na kuanza kuwaona wenzao waongo nakadharika.
hii ni aina mbaya sana ya kufanya strugle, sisi hapa adui yetu ni CCM tu, tunavyopoteza muda kurekodiana wenyewe kwa wenyewe haisaidii kitu.
muda alioutumia SAA NANE kuturekodi ili akauze habari angeutumia kufanya maswala ya msingi kwa chama hakika tungezidi kuwa mbali.
lakini ndio hivyo tena njia ya mwongo fupi, na kila kitu sasa kipo hadharani.....NAENDELEA KU-COMPILE MANENO YAKE NILIYOMREKODI AKISISITIZA UANZISHWAJI WA PM7 NITAYAWEKA HUMU KILA MTU AMUELEWE SAA NANE NI NANI

YESU NA MARIAAAA!!!!Huyu mtu hatari .Ben saanane,Unaomba kupiga story then unageuza kikao halali na unalipa Bili ya msosi wote bila kujali hapa ni BLue pearl,Lunchtime n.k
 
Kawaida ya mzee ni kwamba kauli yake huwa niya kufunga dimba.mwache ashuhudie akina saanane na viongozi wa juu wanavyoumbuka hapa kwa kumchafua kiongozi mwezao Zitto
mbona mm sioni kama ben anaumbuka,,,mpaka sasa zitto 1 ben 3.tusubiri juliana kesho asubuhi nae aje kutoa ushuhuda wake labda utaongeza credit kwa zzk
 
Back
Top Bottom