Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

pumba anazo yule ambaye anakimbia kivuli chake,anayetaka kuuaminisha umma kwamba hatumiwi wakati huo huo maelezo yake yanajifunga,soma vizuri maelezo ya mchange utaelewa maana kamaliza kila kitu.bado sijafunguka nitakapo amua kufunguka nitafunguka kivingine,ila kwa leo dozi ya mchange inatosha

JULIANA MWANANGU KUMBE UNAPENDA VYA BURE CHAKULA CHA BLUE NA LUNCH TIME KINAVURUGA RATIBA ZAKO ZA KILA SIKU HAPA NI MJINI VYA BURE MTOTO WA KIKE VITAKUANGAMIZA
YANI MSOSI UNAKUNUNUA NA HAO VIJANA KWELI SAFARI YA MWANAMKE ANAWEZA NI NDEFU
Angalizo
vya bure mtoto wa kike ni hatari vimeanza kuwagarimu na mchange wako na bado
 
Hivi mbona BEN ajakana hilo?
Amekiri kuwa alikuwa mmoja wa wanakikundi, na kwa sasa amesaliti na wote tunalijua hilo kupitia humu kuwa kulikuw akuna kikundi ila hatukujua ni wakinanani wapo huko na wanafadhiliwa na nani?
na mapka sasa hatujajua labda waje hapa hao PM7 watuambie mfadhili wao ni nani?
ni nani aliye wapa vifaa vya rtekodiana maana inaonekana hili kundi lilikuwa likikutana na wote wanakuwa wapo full nondo kila mtu ni shushu na kifaa chake cha kurekodia wenzie.

Kwa mujibu wa maelezo ya Mchange anasema Ben ndiye alikuwa kiongozi wa kundi la PM7 na katika hatua za hawali kwa mujibu wa maelezo ya Mchange, anasema Ben ndiye alikuwa anahitisha vikao mbali mbali na kuwaudumia yeye mwenyewe...

Na kwa majibu ya Ben ya jana ana mtaja Mh. Zitto kuwa ndiye alikuwa kiongozi wa kundi na alidiriki kuwapeleka kwa Mganga wakale kiapo cha kutosaliti kundi lao.....

Nadhani vijana wamefunguka vizuri sana, hapa ni sisi kuchambua hoja zao na mwisho wasiku tutajua nani mkweli na nani muongo.

Hata hivyo chadema ina kazi kubwa sana, kama vijana wenyewe ambao tulikuwa tunawategemea na kufuata nyendo zao ndio hawa basi safari ya ukombozi ni ngumu sana kuliko tulivyo kuwa tukidhania...
 
Zitto hopless sana,hebu jaribuni kuzisoma posts za mchange na juliana shonza jinsi wanavojaribu kujinasua nasua kwenye shutuma hizi na kuishia kulalama ya kwamba ben msaliti beni msaliti wa chama,,!!yani kauli zao hazina mashiko kabisa,so so childish

hakuna ambae hajui ya kwamba ben nae kakisaliti chama,,yeye mwenyewe kasema ivo na amekiri ya kwamba alikua anakihujum chama na hao kina zitto wakiwemo,aliwasihi wenzake kuamua kusitisha harakati hizo kwa maslahi ya chama ila wenzake waliendelea kwa sababu zenye manufaa juu yao,shonza na wenzako kuja hapa na kushupalia kumjibu ben saa nane personally bila kujibu shutuma zilizotajwa ni ukanjanja wa hali ya juu sana,,

na inaonesha kabisa na kwa kiasi gani mlivyo na akili za kitoto,tunataka ukweli tuuskie na sio blah blah na kujinasua nasua kwenye madudu mliyoyafanya,,kama siku zote walikua wanafaham zitto na ben saa nane wanahujum chama walikua wapi kuacha kuyafikisha hayo katika vikao vya chama wanalalamika waende kuyazungumza leo??

broken adults..
 
'Mie simlaumu ZZK bali nawalaumu watu walioshirikiananae ktk maisha ya kijamii hasa shuleni huko TOSAMAGANGA na UDSM kwa kumumlea vibaya alitakiwa awe ameshafundishwa toka huko mashuleni na kwa jamii alioishinayo..lkn kwasasa ni ngumu sababu kwa umri huu busara inatumika zaidi na watu wa design yake hawafundishiki kwa busara'

wivu wa kike huo
 
Kwani maswali umeulizia mafichoni?si umeuliza kwenye public au?Na mm nimekuuliza maswali nijibu.
Heshima mbele,kama huna hoja kaa kimya kuliko hali hii uliyonayo umeloa


Kama hataki wengine waseme angetumia PM, kuna watu wanaamini kua chama ni cha baadhi ya watu tu, wengine hawana haki ya kuongea lolote.
 
too bad indeed,,,

so so childish mind..
Ukiangalia kwa undani ni sisi ndio tunawavibisha kichwa hawa Vijana wasio na uwezo wowote wala karama ya Uongozi, nadhani sasa ni wakati wangu muhafaka kupumzika jukwaa hili na nirelax MMU mpaka mwakani, naona ujinnga ujinga tu hapa.
 
Halafu hata Mchange inabidi sasa achague upande,Ukiona watetezi wako wanatoka CCM inabidi ujifikirie mara mbili? Je unafit Chadema.?

Upande gani mkuu wa kaskazini au kanda zingine...mwaka huu mtatoana roho.
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingi nimekuwa nikijiuliza kwanini CDM hawamuweki kati ZZK? Mwenendo wa matukio ya huyu ZZK ilipaswa awe nje ya CDM kitambo. Leo ndio naona busara ya CDM wangemtosa huyu bwana maneno yangekuwa mengi sana , na ingegeuka kuwa propaganda kubwa sana. Lakini kwa hii ya samaki kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe ni safi sana, maana hapa samaki itabidi yeye mwenyewe aruke kutoka kwenye kikaango au aendelee kukaangwa .

ZZK amechagua kuambatana na kundi lisilo kuwa na ajenda na uwezo wa kujenga ajenda..............Daudi alijinyenyekeza chini ya Sauli hadi wakati wake ulipofika, the same kwa ZZK wakati wake ukifika Bwana atamuninua kinyuma cha hapo ni uasi
 
pumba anazo yule ambaye anakimbia kivuli chake,anayetaka kuuaminisha umma kwamba hatumiwi wakati huo huo maelezo yake yanajifunga,soma vizuri maelezo ya mchange utaelewa maana kamaliza kila kitu.bado sijafunguka nitakapo amua kufunguka nitafunguka kivingine,ila kwa leo dozi ya mchange inatosha
Hiyo team inaonekana ilikaa mahala ndio maana wana mipango yote tusubiri!!!
 
Nilisema jana kwamba Ben Saanane ni muongo,Mnafiki,Mzushi,na Mzandiki mkubwa ambaye mpaka wakati huu Chama chake kilitakiwa kiwe kimechukua hatua tayari,lakini sijui kuna nini,lakini ninachojua huu ni mwanzo tu wa picha kuna mengi yanakuja humu ndani kwa taarifa rasmi nilizonazo,n kuna mtu mtasikia amejinyonga muda si mrefu>
 
haya tena. Gurudumu limempindukia saanane. Na huyu kiongozi wa juu wa chama anayemtumia hawara yake kugombanisha watu ni nani?
 
pumba anazo yule ambaye anakimbia kivuli chake,anayetaka kuuaminisha umma kwamba hatumiwi wakati huo huo maelezo yake yanajifunga,soma vizuri maelezo ya mchange utaelewa maana kamaliza kila kitu.bado sijafunguka nitakapo amua kufunguka nitafunguka kivingine,ila kwa leo dozi ya mchange inatosha

Inaonyesha una hasira sana..... Punguza hasira na ulete hoja badala ya kutokwa na povu.... Ni kwa nini vijana wasomi kama nyie mmeamua kijidhalilisha na kudhalilisha chama kiasi hiki? hivi nyie ndio mnao jinasibu kuwa mtakuja kuiongoza hii nchi?
 
Hapa tunajifunza yafuatayo;

-Hapa tuna hesabu ya set Na subset

-Hesabu zingine hazifuati mfumo, unaona 2 + 2 ni 4, na 2 x 2 pia ni 4,
Na 3 + 3 ni 6 lakini 3 x 3 ni 9

Unahitaji Watu wenye utaalamu wa hesabu za aina hii ili kupata ufumbuzi Na kutatua suala hili.

Chadema ni imara Na itaendelea kuwa imara zaidi
 
Mkuu naona wewe umeisha jichagulia sehemu katika haya makundi angalia lakini.

Ritz@naomba msaada wa ile thread inayomuanika ben na ujasusi wake kule india na namna alivyowasaliti watanzania wenzake
 
Upande gani mkuu wa kaskazini au kanda zingine...mwaka huu mtatoana roho.......

Mkuu hawa wote hawafai tunachowataka tu watupe ushahidi wooote,na baada ya hapo ni vyema wakajiua tu wasiwepo tena hapa Tanzania.

Kuwaambia wachague upande wa pili ni hatari weka mbali sana na chama hao mkuu,hao ni kirusi,nasisitiza waweke kila kitu chao humu ndni na baada yapo wajiue watoweke tuwazike.
 
Inaonyesha una hasira sana..... Punguza hasira na ulete hoja badala ya kutokwa na povu.... Ni kwa nini vijana wasomi kama nyie mmeamua kijidhalilisha na kudhalilisha chama kiasi hiki? hivi nyie ndio mnao jinasibu kuwa mtakuja kiongoza hii nchi?.........

Waraka wa Juliana tunausubiri kwa hamau hapa,Bado wa Kitila Mkumbo.
 
Ni kwa sababu niliipima akili yake na kujua anachokitaka, na nisingeweza kumkimbia mapema kwa sababu angewasingizia mambo mengi sana wenzake.

Mpaka sasa baadhi ya viongozi wa chama wananichukia sana mimi, wanamchukia mwampamba na wengine, lakini hii ni kwa sababu ya uwongo waliokuwa wakilishwa na SAA NANE, yeye alikuwa anatuita tupumzike ama tupige story, halafu anakibadilisha kinakuwa kikao cha mikakati ya PM7 halafu anaanzisha maada za kujadili kisha anawarekodi na kupeleka kwa hao baadhin ya viongozi, masikini ya mungu viongozi wetu wanaamini na kuanza kuwaona wenzao waongo nakadharika.

Hii ni aina mbaya sana ya kufanya strugle, sisi hapa adui yetu ni CCM tu, tunavyopoteza muda kurekodiana wenyewe kwa wenyewe haisaidii kitu.

Muda alioutumia SAA NANE kuturekodi ili akauze habari angeutumia kufanya maswala ya msingi kwa chama hakika tungezidi kuwa mbali.

Lakini ndio hivyo tena njia ya mwongo fupi, na kila kitu sasa kipo hadharani.....NAENDELEA KU-COMPILE MANENO YAKE NILIYOMREKODI AKISISITIZA UANZISHWAJI WA PM7 NITAYAWEKA HUMU KILA MTU AMUELEWE SAA NANE NI NANI.......

kwanini mnawatukana viongozi wakuu wa chama kwenye facebook?au nalo ni Saanane kashtaki?
 
unamtia aibu sana aliyekutuma,
kama wewe mwenyewe ndo muhusika unajitia aibu kupita kiasi,
umekua mzito kujenga hoja kutetea hichi mlichokusudia kukitetea.
Hii mitandao ya kijamii inawatia aibu sana. acheni huu upuuzi.
Maslahi binafsi hayawezi kufanikiwa mbele ya wanaharakati wengi wenye nia dhabiti........


Kumbe mnaandika hapa baada ya kutumwa. Kweli waswahili wa Pemba hujuana kwa vilemba.
 
Back
Top Bottom