Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
YAWEZEKANA U MGENI KWENYE SIASA ZA CHADEMA, MIGOGORO YA CHADEMA HAIKUANZA BAADA YA UCHAGUZI KAMA UNAVYODAI...LABA NIKUKUMBUSHA KIDOGO...
1. Walianza na kaborou, wakamshambuliaaaaaa mpaka akahama chama.
2. wakahamia kwa akwilombe, naye wakamshambuliaaaa mpaka akahama chama
3. wakaja kwa kina Mzirai, Mng'ong'o na wenzao wakawashambulia mpaka wakawafukuzza uanachama..
4. lakini kubwa zaidi ni CHACHA WANGWE, walimshambulia, wakamwita msaliti, amenunuliwa, amehongwa mpaka akauawa kitatanishi tatanishi, cha kushangaza ni kwamba baada tu ya kuuawa kwake wakaacha kumuita msaliti, akaanza kuitwa KAMANDA...
5. Wamehamia leo kwa zitto, wanamshambulia ili ahame chama, kinachowauma sasa in zitto kuwapuuza, ndio maana wanalazimika kubuni kila aina ya njia za kumshusha lakini wanashindwa....
kitu cha msingi na kuzingatia ni kwamba kwenye chadema woooooote wanaweza kuitwa wasaliti isipokuwa wawili tu.
Basi kama hao walivyoondolewa na Chama kimeweza kuendelea kukua na kuimarika zaidi kuna uwezekano mkubwa sana kwamba kumfire Zitto na Nyie wote ikawa ni gear ya mafanikio zaidi.
Alafu angalia aina ya watu uliowataja, bila kuangalia ukweli wa maelezo yako, kabourou yuko wapi? sijui akwilombe, mzirai you name it, kati yao na CHADEMA nani kapotea??
Mimi naendelea kukutambua wewe kama mmoja wa mizizi ya haya matatizo yote na tatizo ni njaa. hakuna kinachowasumbua zaidi ya njaa, njaa itawafikisha pabaya sana, watu kama nyie kule lamu mnashushughulikiwa vizuri kweli kweli,njaa yenu ndio ibilisi wenu