Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki...

Hapa ni wazi saanane kafanya kazi sahihi ya kuwafichua hawa kima,wanapindisha maneno wotee.Masikini wewe.Hongera saa8.
 
ni sawa kabisa Ben Saanane aliwashawishi na kuunda hicho kikundi(kama ni kweli).
Je hao wanakikundi hawakua na akili timamu mpaka kupangwa na kuunda kikundi na kutungiwa majina na kukaa kimya kwa mda wote huo mpaka yeye mwenyewe Ben Saanane kuanzisha mjadala wa kuwaanika wanakikundi hao hadi na wao ndo waje kujibu hoja kwa kumsema na kumsuta muasisi wa kikundi hicho??
je Ben Saanane asingevunja jungu hili hizi harakati za kundi hili zingeendelea mpaka lini kuharibu misingi ya cha hichi(kama ni kweli liku adhamira kuu)
CC. to Juliana Shonza Ben Saanane Zitto Exaud Mamuya Mchange

Swala ni hilo kundi kutosimama,Maana yake liliishia kimya kimya.Kwanini hakujitokeza hapa nadhani wana lakujibu.Ila kwangu mm nahisi walitumia ushikaji zaidi kwenye mambo hatari.wakapotezeana.
Sasa x mass imefika watu hawana hela wametunga uongo na kuongeza vitu kama hivi wakaamua kuleta jamvini kumhafuza zitto
 
Hivi katika post zote mbili,wana jf mnapata onnection ya moja kwa moja ya zitto na usaliti anaousema ben???
Ben hakuna sehemu aliyomuonesha zitto akiuwa na kundi hili zaidi ya bla bla za maneno yake.lakini ni wapi zittto anaingia kwenye hizi shutuma?
 
Zitto ulitokana wapi na hizi takataka,fb kumekua moto wamekuja jf

Taswira na malindi mnajaza post ili uzi uwe mrefu kama wa Ben Saanane,hautamvutia yeyote

Juliana,ben,habib,gray huu usaliti wenu kama mlishirikiana na yule mzee aliyetabiria kufa kwa chadema na tiss,kwa huu uropokaji wenu watawaondoa

wasaliti,washirikina wakubwa.pumbav nyie na vizazi viunoni mwenu

matusi ya nini tena?Ban unaitafuta nje nje,Mods wapo kazini acha dharau
 
ndiyom maana mnafeli mitihani hivihivi unaambiwa without using mathetical tables solve the following wewe unaamua kuachana na kiti unakaa chini. jibu swali kwanini zito hataki kuoa? kwani mwali kuwa ndani ndiyo kuoa wewe vipi? naona leo mnasaidiana , kyama chenu kimefika.uneniambia alikuwa hajapata mwenza ningekuona una busara lakini kwa hili bure kabia.

Swali la kuoa nimekupa sehemu ya kuref ww unakuwa mbishi.Nenda kwenye post ya interview yake alijibu hili swali.
Unahangaika na vitu visivyo vya msing
 
'Mie simlaumu ZZK bali nawalaumu watu walioshirikiananae ktk maisha ya kijamii hasa shuleni huko TOSAMAGANGA na UDSM kwa kumumlea vibaya alitakiwa awe ameshafundishwa toka huko mashuleni na kwa jamii alioishinayo..lkn kwasasa ni ngumu sababu kwa umri huu busara inatumika zaidi na watu wa design yake hawafundishiki kwa busara'
 
Swala ni hilo kundi kutosimama,Maana yake liliishia kimya kimya.Kwanini hakujitokeza hapa nadhani wana lakujibu.Ila kwangu mm nahisi walitumia ushikaji zaidi kwenye mambo hatari.wakapotezeana. Sasa x mass imefika watu hawana hela wametunga uongo na kuongeza vitu kama hivi wakaamua kuleta jamvini kumhafuza zitto
swala ni kundi hili kuundwa.
kwa nini kundi hili liliundwa?? Mchange ataumbie ili kundi lao waliliounda kwa nia gani??
kama hawakulipenda hili kundi ni kwa nini walikubali kupelekeshwa na kualikwa kwenye vikao madhubuti vya kuimarisha kundi hi mpaka kufikia hatua ya kutungiwa majina na muasisi wa kundi hili ben Saananae(kama madai yao yanavyosema)
Je Exaud Mamuya na Ben Saanane wasingeweka wazi haya maswala ni sahihi kusema kuwa Mchange na Juliana Shonza wangendeela kukaa kimya na kutukuza kikundi hichi cha waasi dhidi ya chama??
 
Last edited by a moderator:
'Mie simlaumu ZZK bali nawalaumu watu walioshirikiananae ktk maisha ya kijamii hasa shuleni huko TOSAMAGANGA na UDSM kwa kumumlea vibaya alitakiwa awe ameshafundishwa toka huko mashuleni na kwa jamii alioishinayo..lkn kwasasa ni ngumu sababu kwa umri huu busara inatumika zaidi na watu wa design yake hawafundishiki kwa busara'

tosa aligombea ukiranja mkuu kutokana na unafiki alionao kamati ya nidhamu iliondoa jina lake na hakuitwa kufanyiwa usahili, kipindi hicho wote tupo kidato cha tano..muda mwingi weekend alikuwa anatoroka au kuomba ruhusa anenda iringa mjini huku ishu zake kuu ni kukutana na akina kaburu kipindi hicho 1997.
 
mbona mimi nimemuelewa vizuri sana mkuu, kama anasema kuwa SAA NANE amewaingiza KING WENZIE sasa anataka kuwaacha kwenye mataa.
tuvute subira tusikie mengi zaidi
Unamuelewa kwa sababu wewe mwenyewe ndo uliyeandika
wewe unaandika unajiuliza mwenyewe unajijibu tena ha ha ha ha

hamsafishiki nyie masalia nenda kwenye TUNTEMEKE& co c nayo kampuni yako
 
Saanane kafanya kazi nzuri hata kama naye ni wa kuhukumiwa.Kamaa libuni kitu wakaingia ni wazi kuwa walikuwa ni watu wahiyo business.ZItto si mgeni wa siasi kiasi hiccho hadi aseme kuwa alishwishiwa na ben 14.00.

Hta FBI huwa wanauza unga na wao ili kuwadaka big fish ktk hiyo cartel.
 
ni sawa kabisa Ben Saanane aliwashawishi na kuunda hicho kikundi(kama ni kweli).
Je hao wanakikundi hawakua na akili timamu mpaka kupangwa na kuunda kikundi na kutungiwa majina na kukaa kimya kwa mda wote huo mpaka yeye mwenyewe Ben Saanane kuanzisha mjadala wa kuwaanika wanakikundi hao hadi na wao ndo waje kujibu hoja kwa kumsema na kumsuta muasisi wa kikundi hicho??
je Ben Saanane asingevunja jungu hili hizi harakati za kundi hili zingeendelea mpaka lini kuharibu misingi ya cha hichi(kama ni kweli liku adhamira kuu)
CC. to Juliana Shonza Ben Saanane Zitto Exaud Mamuya Mchange

ben for good, for worse kaplay role nzuri sala.magamba wakajipange upya.Ngoma nyingine imetoka prematurely
 
Huyu Mchange ndo mtumwa wa Zitto na Shonza,ndugu zitto hasafishiki..halafu elewa Saanane ametubu hajapinga,na nyie mkiri sasa.MWAMBIE ZITTO AITISHA PRESS ATUBU.
 
It appears kile kikosi kilichoshutumiwa na Ben, kimekwenda kukaa pamoja na kuandika hii makala ndefu ya kujisafisha na kumsafisha Zitto. Lakini katika jambo lililonishangaza sana ni kwamba Mchange anasema alikuwa anajua mission yote ya Ben, lakini aliendelea kwenda na kushiriki kwenye mikakati yote ya kukihujumu chama. Na zaidi sana anasema hata wenzake akina Juliana Shonza alikuwa anawajulisha. Sasa najiuliza:
  1. Ni nini kilichokuwa kinawatuma kuendelea kushiriki katika hivyo vikao na mikutano ya kukichafua chama na kukisambaratisha huku wakijua kwamba wanafanya kitu kibaya? Hapa tutauelewa vema unafiki wa mchange!
  2. Ni kwanini kundi la akina Mchange, Juliana, Gwakisa, Taswira na hiyo MP7 kwa ujumla wake lilijitolea na kujipambanua kwenye mitandao kumkashifu na kumchafua Dr. Slaa na si Zitto au kiongozi mwingine yeyote wa chama? Walitumwa na nani? Kwa maslahi ya nani? Je ni Ben aliyewatuma kufanya mliyokuwa mnayafanya? Je hamkujifunza ni kwanini Ben mwenyewe hakuwa akishirikiana nanyi kuwachafua viongozi wa chama?
  3. Kwa kukubali kutumiwa, tutakuwa tumekosea tukiwaita nyie mataahira? Maana mlishindwa kutumia akili zanu binafsi kuchambua na kutambua kwamba mnayoyafanya ni ya kihuni? Sasa mwaonaje tukisema wewe Mchange na wenzako wote mliokuwa mnaandika maneno ya hovyo kwenye facebook dhidi ya viongozi wa chadema ni watu wenye mtindio wa ubongo?
  4. Kama mlijua kuwa Ben, ni mnafiki na kwamba ni shushushu, kwanini hamkuwa wa kwanza kujitokeza na kuanika uovu wa Ben kwenye mitandao badala yake mliandika ya Dr. Slaa? Iweje msubiri hadi Ben ajitokeze na kuanika ya kwenu ndipo mje mbele yetu na kuanza kujisafisha? Tunao ushahidi kwamba nyie ndiyo mliokuwa mnakihujumu chama kutokana na maneno yenu mliyokuwa mnayaandika kwenye mitandao na magazetini? Je mnaweza kuwasilisha ushahidi wowote wa maandishi au wa mdomo unaoonyesha kwamba Ben saanane alikuwa pamoja nanyi kuhujumu chama?
  5. Mwisho napenda kujua yale yote ambayo akina Mchange, Tuntemeke, Taswira, Juliana na wapuuzi wasaliti wengine wa chama walikuwa wanayafanya, yalikuwa ni kwa faida ya nani? Kwa kuwa hili kundi lote linamuunga mkono Zitto, ni kwa namna gani mtatuaminisha kwamba hamkuwa mnatumwa na Zitto kufanya haya? Na kwanini Zitto alikuwa hawaonyi (hasa wewe Mchange) kila unapotoa tuhuma nzito na za hatari kwa mstakabali wa chama ilihali wewe ni mtu wake wa karibu?
Ninapenda kuwashauri nyie akina Mchange, Ben Saanane, Zitto na wengine wote kwamba mmeshasema mengi, unafiki wenu umeshajulikana kwetu hivi sasa. Kilichobaki rudini kwenye vikao vya chama mkatubu, na mrudi kwenye mstari wa kuendelea kukijenga chama.
Zitto acha tamaa ya madaraka. Huwezi kupata madaraka kama chama chenyewe unachotegemea kikubebe kuelekea Ikulu kitakuwa kimekufa.
Zitafakarini njia zenu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom