UPIU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 602
- 111
hivi kwa nini Zitto hajawahi kukemea vijana mamluki ndani ya CHADEMA?
kwani Babu aliwakemea lini
hivi kwa nini Zitto hajawahi kukemea vijana mamluki ndani ya CHADEMA?
Molemo, namimi naomba kuuliza kwamba ikiwa ushahidi wote huo upo NI NINI KINASUBIRIWA KUWATIMUA?Fred Kavishe
Umeonyesha wewe ni mwanamapinduzi hasa.Nina swali moja kwako:Vijana hawa tayari upo ushahidi usio na shaka kwamba wamehongwa mamilioni ya Fedha kwa lengo la kuua chama na kazi ya kwanza waliyopewa ni kumuua kisiasa kiongozi namba moja tishio nchini Dr Slaa.Sasa nakuuliza Je,watu hawa waachwe tu wakamilishe kazi waliyopewa? Ukinijibu hili nitakuuliza lingine.
haa haa haa haa haa kaka hofu ya ubunge inakupa homa sana nishamjua unayemlenga na yeye ana hisia hizo hizo na kwako.Naunga mkono hoja. Hata jimboni kwetu Ukonga kuna tetesi ya kiongozi mmoja wa Bavicha kununuliwa na uongozi wa CCM wa wilaya. Nasikia wanaandaa siku ya mapokezi yatakayoshirikisha viongozi wa wilaya wa CCM na hotuba yake ya kuitukana CHADEMA imeshaandaliwa. Sisi tunafuatilia suala hili kwa karibu.
Vile vile kinachotusikitisha ni kwamba, kabla ya kwenda CCM alienda makao makuu na kuchukua kadi 200 za CHADEMA, sijui wana malengo gani.
Hawa watu wanatusumbua sana ndio maana nasema nakubaliana na pendekezo la Saanane, hivi virusi viondolewe.
sawa lakini matusi si suluhu.Mkuu hawa watu wanakera sana.
Molemo, namimi naomba kuuliza kwamba ikiwa ushahidi wote huo upo NI NINI KINASUBIRIWA KUWATIMUA?
Watupwe nje sasa!
Asiyeziba ufa .....
Tuanze 2013 tukiwa safi.
kubishana na Ritz ni sawa na kubeba maji kwenye gunia! mwacheni ndivo alivo na upeo wake umekomea hapo! Atalipwa je??
haa haa haa haa haa kaka hofu ya ubunge inakupa homa sana nishamjua unayemlenga na yeye ana hisia hizo hizo na kwako.
Kwa mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe hata ukihama CHADEMA hakuna madhara hata kidogo. Nakushangaa sana kwanini hujaondoka!Naona hujanielewa wewe. But for your information mimi ni mmoja wao wa wengi watakaohama CDM kama Dr Slaa hatajutia dosari ya kuwa na kadi ya Magamba, fullstop.
Naunga mkono kila anayempinga slaa kwenye chama AFUKUZWE mara moja.
Mkuu mbona hueleweki? Ubunge unahusiana nini na mamluki?
hivi kwa nini Zitto hajawahi kukemea vijana mamluki ndani ya CHADEMA?
Naomba kutofautiana na wachangiaji walio wengi ndani thread hii, nachokiona mimi ni kuwa ndani ya BAVICHA kuna mgongano wa kimaslahi na zaidi maslahi ya kifedha, inavyoonekana kuna kundi moja linafaidi zaidi fedha za chama kwa kujipa safari za kuzunguka Nchi nzima na kundi la pili ambalo halina safari hizo na zaidi linahoji uhalali wa matumizi ya fedha kwa baadhi ya viongozi wa BAVICHA na matokeo halisi ya ziara zao za kila siku.
Ni vizuri watu wasiingizwe mkenge kwa kushabikia tu, makundi haya mawili lazima yataanza kuhujumiana kwa kutungiana tuhuma, na ni wazi kundi litakaloibuka washindi ni lile lenye mafungamano na magazeti kama Tanzania daima nk.CHADEMA wawe makini sana wasipoweza kuweka mipango yao sawa watawakwaza wapenda mabadiliko kwa kukumbatia watu wanaojipendekeza kwa mwenyekiti na katibu mkuu na kuwazushia wenzao tuhuma kila kukicha.Inavyoonekana ndani ya chadema ni viashiria vya tabaka la kiuongozi mwenye macho anaweza kuona, tujadili kwa manufaa ya Taifa na mabadiliko na sio kwa ubinafsi na ushabiki.
Kuweni macho na mapandikizi kwenye chama, kadi kwa taarifa yenu wakati wa chama kimoja kila mtu alitakiwa kuwa na kadi ya ccm na lazima kuaoma miezi mitatu, vinginevyo hupati nafasi chuo, ama kazi, baada ya vyama vingi na yote yanayokemewa na vyama vya upinzani mtu kuwa na kadi asiyoilipia sio hoja ya msingi.
Tuangalie chadema na vyama vingine viko wapi, kutetea maslahi ya wananchi. Pingo
kwani Babu aliwakemea lini
Kivuli cha Zitto kinawatesa wengi, mlipoteza muda mwingi sana kumdhibiti Zitto mkidhani ndioTarget kumbe ni kijana anaepigania haki yake hao mliokuwa mnawakumbatia ndo walikuwa nyoka, Anzeni mazoezi ya kuandamana kupinga matokeo ya Urais na Mameya 2015 pamoja na kulala viwanjani kuwaombea laana washindi!
Ndiyo na hata mimi niliipata enzi hizo lakini si arudishe tu, kuna ubaya gani bana? Yeye mbona aliichukua yangu kwa mbwembwe? Ingekuwa Zitto angefukuzwa chama nina uhakika.
Jihadharini lakini. Msije mkafukuza watiifu katika chama kwa kudhani ni mamluki na kuwaacha mamluki wenyewe! Hapo itakuwa hatari.