BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

Tafuta kazi ya kufanya hapa mjini vinginevyo utaolewa.

Mkuu kwani mie ndio nimemwamba Dr Slaa aitunze kadi ya CCM...wewe una kazi gani mjini kumtetea Dr Slaa hiyo nayo kazi.
 
Mkuu mbali na Heche muongeze Katibu mkuu wa Bavicha ndugu Deo naye ni mpiganaji hasa.

Ni kweli, BAVICHA inaonekana kuwa na Viongozi wawili tu yaani HECHE na MUNISHI. Ni majembe ambayo yanajitahidi kuinga'arisha BAVICHA likini yapo mapakashume yanayopambana nao huku wakijidai wao nao ni BAVICHA. Naweka picha hapo chini kuonyesha jinsi majembe haya yanavyojituma

HECHE NA MUNISHI WAKIWA MAENEO TOFAUTI YA NCHI KWA KAZI ZA UHAMASISHAJI WA VIJANA


[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema (BAVICHA)John Heche akihutubia umati wa watu Mkoani Tunduma ambapo wanachama wengi wa CCM wakiwemo wa UVCCM walirudisha kadi zao za kujivua UCCM na kuhamia Chadema.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Katibu mkuu wa Bavicha Bw, Deogratias Munishi akipokea kadi ya kujivua uanachama wa UVCCM kutoka kwa Mwanachama wa UVCCM mkoani Rukwa jimbo la Mpanda Vijijini.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Munishi anamwaga Sera Kahama[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hapa naye ni Heche

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Ni kweli, BAVICHA inaonekana kuwa na Viongozi wawili tu yaani HECHE na MUNISHI. Ni majembe ambayo yanajitahidi kuinga'arisha BAVICHA likini yapo mapakashume yanayopambana nao huku wakijidai wao nao ni BAVICHA. Naweka picha hapo chini kuonyesha jinsi majembe haya yanavyojituma

HECHE NA MUNISHI WAKIWA MAENEO TOFAUTI YA NCHI KWA KAZI ZA UHAMASISHAJI WA VIJANA


[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema (BAVICHA)John Heche akihutubia umati wa watu Mkoani Tunduma ambapo wanachama wengi wa CCM wakiwemo wa UVCCM walirudisha kadi zao za kujivua UCCM na kuhamia Chadema.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Katibu mkuu wa Bavicha Bw, Deogratias Munishi akipokea kadi ya kujivua uanachama wa UVCCM kutoka kwa Mwanachama wa UVCCM mkoani Rukwa jimbo la Mpanda Vijijini.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Munishi anamwaga Sera Kahama[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hapa naye ni Heche

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Asante sana mkuu Mdutch.
Wakati wengine wakipelekwa UK na CCM kwa lengo la kuhujumu CDM makamanda makini kina Heche na Munisi wanafanya kazi ya ukombozi.
 
Naunga Mkono hoja...hawa watu watimuliwe au watangazwe waziwazi jamii iwafahamu...Chama ni zaidi ya kina kenge Mchange na Shonza....Mbona wale madiwani wa Arusha hawana kitu sasaivi.......Trust me ,Leo hii hata zitto akifukuzwa kwenye chama atakufa kisiasa yeye...CHADEMA is there to stay......

Angalizo: Ukiona unashambuliwa sana na mpinzani wako ujue umewashika kwenyewe...Dr Slaa kaza buti baba,watakuita majina yote Lakini tulia mwisho wa Siku watanzania watakuelewa....Hata Chuma ili kiwe thabiti lazima kipitie kwenye Furnace,,,,,,,

Mpinzani wa kweli hawezi kusifiwa na CCM.....Take it or not.....
 
Kazi imeanza ndani ya Chadema...mnatafutana wachawi wakati kiongozi wenu Dr Slaa ndio pandikizi namba moja la CCM limeienzi kadi ya CCM.

Mapandikizi huonekana kwa matendo yao kijana na sifa zao kuu ni kuharibu sehemu walipo.je Dr Slaa ameharibu chochote ndani ya Chadema?
Pili Haiwezekani CCM imtumie Dr Slaa kama pandikizi halafu bado wamtaje kwenye umma kuwa ni pandikizi lao.Mbona hamuwataji wale wanaojulikana na kila mtanzania kuwa ni mapandikizi yenu ndani ya harakati za kumkomboa mtanzania?
Mapandikizi yenu yanajulikana na hakika muda utapowadia wote watatupwa kwenye tanuru la moto na hakuna wa kuwasaidia hata wakilia machozi ya damu.
 
Mimi ata sielewi kwa nini bado ni viongozi na wanachama wa CHADEMA wanatakiwa wafukuzwe ata bila kufata utaratibu..SUMMARY DISMISAL.
 
Naunga mkono hoja. Hata jimboni kwetu Ukonga kuna tetesi ya kiongozi mmoja wa Bavicha kununuliwa na uongozi wa CCM wa wilaya. Nasikia wanaandaa siku ya mapokezi yatakayoshirikisha viongozi wa wilaya wa CCM na hotuba yake ya kuitukana CHADEMA imeshaandaliwa. Sisi tunafuatilia suala hili kwa karibu.

Vile vile kinachotusikitisha ni kwamba, kabla ya kwenda CCM alienda makao makuu na kuchukua kadi 200 za CHADEMA, sijui wana malengo gani.

Hawa watu wanatusumbua sana ndio maana nasema nakubaliana na pendekezo la Saanane, hivi virusi viondolewe.

CCM ni chama kingine, kwa nini mwapenda kujondoa matatizo ya mfumo mbovu wa uongozi KISINGIZIO ni CCM!! Achaneni na unafiki, CHADEMA kimekosa dira na mfumo wa uongozi na utendaji ulio imara. Poleni sana mtazidi kulalama, CCM inasonga mbele kuelekea uchaguzi 2014 kabla ya kuwamaliza kabisa uchaguzi mkuu 2015
 
Ben
You have said all my brother.
Chadema huu ni wakati sasa wa kuwafukuza hawa waasi.Ni vizuri watimuliwe muda huu kabla hatujafanya uchaguzi wa ndani ya chama.

Hiki kikundi cha waasi kinajulikana kwa muda sasa kifukuzwe ili wapate muda mzuri wa kuitukana Chadema wakiwa huru kule CCM kuliko sasa wanavyoichafua Chadema kupitia mitandao.

Ni wakati sasa wa John Heche na kamati yake kuwafukuza hawa wahuni ndani ya Bavicha na chama kitamalizia

Sio kuwafukuza tu kwanza chama lazima kijiridhishe na tuhuma dhidi yao na uchunguzi huru ufanyike na watuhumiwa wapewe tuhuma zao na muda wa kujitetea! Baada ya hayo yote kufanyika then wafukuzwe kwa kufuata taratibu na sheria za chama!

Jambo jingine chadema ni chama ambacho kinaenda kushika dola 2015, na chama kinaporwa dola ccm hakitakubali kwa urahisi, chadema lazima wawe makini sana kwenye kuchuja viongozi wake kwa kuwa ccm watapenyeza mapandikizi ndani ya chadema ili kuvuruga dira yetu ya 2015 ya kushika dola!

Kuna wanachama wengi sana wa chadema potential kwa uongozi hakuna haja kupokea makapi ya ccm kuyapa uongozi!Lazima chama na intelijensia yake wafanye kazi kitaalamu sana otherwise mapandikizi yakipenyezwa itakuwa ngumu na ndio mwanzo wa vurugu ndani ya chadema!
 
Vita ni vita havina kanuni tofauti.Ukombozi wa Mtanzania kwa sasa ni vita ingawa sio ya silaha,ila kanuni za vita ni zilezile.Kanuni kuu ya mkiwa vitani ni muasi yeyote hana adhabu mbadala ila ni risasi tuu. Bavicha piga risasi(fukuza)hao waasi kwani ndio stahili yao.Watu wamejitoa maisha na mali zao katika mapambano haya halafu mkubali wapuuzi fulani waharibu mambo?
 
Mkuu kwani mie ndio nimemwamba Dr Slaa aitunze kadi ya CCM...wewe una kazi gani mjini kumtetea Dr Slaa hiyo nayo kazi.

kubishana na Ritz ni sawa na kubeba maji kwenye gunia! mwacheni ndivo alivo na upeo wake umekomea hapo! Atalipwa je??
 
Naunga mkono hoja, na sio tu waonalipwa na ccm bali wapo wanaolipwa na mamliki wa ccm waliojichimbia ndani ya Chadema.

Wakionywa hawa vijana ni dalili njema kuelekea ktk malezi mema ya vijana wetu kuja kushika mamlaka kamili ya nchi.

Hatuwezi kuwa na vijana wenye ndimbi mbili ndani ya chama chetu cha ukombozi wa mara ya pili wa nchi yetu
 
Naunga mkono hoja. Hata jimboni kwetu Ukonga kuna tetesi ya kiongozi mmoja wa Bavicha kununuliwa na uongozi wa CCM wa wilaya.

CHADEMA mkitumia vizuri nafasi hii mnauwezo wa kupata double agents wakutosha. Mtu anayenunuliwa ni njaa tu inampeleka huko na si mapenzi, na kwakuwa amesaliti ni rahisi zaidi kuwasaliti hata hao waliomnunua. I hope mna watu wa kuweza kutengeneza virusi hivi
 
Back
Top Bottom