BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

Huyu ben ndo mtoto wa mzee saanane ambae alidaiwa kuwa na uwezo wa kufunga mvua isinyeshe?
 
CCM baada ya kuwasaidia wananchi, imejikita kumwaga fedha kudhoofisha CDM. Wapo wengi ndani ya CDM wanarubuniwa kwa vyeo na mapesa. Wakati ni huu, wefukuzwe wote
 
mwaka 2005 tulicheka na Kikwete,akaingia magogoni,2015 tukicheka na mhuni zitto zuberi kabwe,ataingia magogoni kwa tiketi ya cdm,na maana yake ni kuwa cdm na ccm watakuwa wanatawala nchi kwa wakati mmoja
 
Mwanasiasa kijana ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA ambaye nyota yake iko juu Ben Saanane amelitaka Baraza la vijana CHADEMA BAVICHA kuwafukuza waasi wote wanatumiwa kukihujumu chama.

Namnukuu:
kati ya mamluki na yeye nani kafukuzwa?
 
Back
Top Bottom