Akijibu hoja ya Ben,mmoja wa wasaliti hao ameandika haya:
"Juliana Shonza Naona unafanya vizuri sana kazi yako uliyotumwa.
Mimi na wewe nani anatumiwa ben?
Let me tell u all one thing,kuna watu wasipomtaja shonza hawaishi mjini ,kwa ushauri tu hapa sio mahali sahihi pakumwajibisha shonza kwa hayo mnayomtuhumu pelekeni maoni na mawazo yenu chamani hapa sana sana naona ni kelele za wafa maji .
What shonza benefit for her being a chadema member and leader of a youth wing?
Kiasi kwamba mumtishe kwa hoja zenu mfu na dhaifu kiasi hicho?
Mimi ni msomi,
mfanyabiashara na mwanasiasa.
Siasa sio inayoniweka mjini you guys ,mimi silipwi senti tano kwakuwa makamu au mwanachadema sasa hizo consequences mnazozizungumzia ni zipi hasa hapo?
Mtoa tamko anaitwa eddo mwamalala mmeacha kujadili hoja aliyoitoa kuhusu slaa kuwa na kadi mbili mmeanza kumjadili shonza.
Au ndo wale wale wanaoumwa ugonjwa uitwao shonzafobia?
Naona mna uhakika sana na hayo mnayoyapigia kelele mnasubili nini kuchukua maamuzi hayo mnayoyaita magumu?
Andamaneni mpaka makao makuu kinondoni pelekeni huko hoja zenu.
Ila mkiona mnafaidika sanaaaaaaa kwakumtaja taja shonza,shonza
endeleeni maana mwingine ndio kazi yake aliyoajiliwa.
Poleni sana nimeamini hata bundi hujinadi kuwa yeye ni kuku.
Maana nimemwona bundi humu akijinadi kuwa yeye ni kuku wa kienyeji.
Ili badae akapokee ujira wa mwiha.
Kwa leo ni hayo tu guys."
Huyu amekiri kuwa mi mfanyabiashara na mwanasiasa.Thats's why Nape amewanunua kirahisi sana hawa wachumia tumbo.