BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

BAVICHA Ifukuze waasi wote - Ben Saanane

CCM daima huwatumia wanasiasa ndumilakuwili kama toilet paper,wapi Tambwe Hiza!
 
Mkuu wetu na mshauri mkuu wa Chama Kitila Mkumbo nakuona unatusoma hapa,tafadhali chukueni hatua kabla ya NCCR hayajatua CHADEMA! Tumechoka na kelele badala ya ujenzi wa chama!
 
Naunga mköno hoja.,heche kaeni chini timua Shonza,MCHANGE na MWAMPAMBA a.k.a TUNTEMEKE
 
Kama tuliweza kufukuza madiwani waliochaguliwa na wananchi, kamwe chadema haitosita kutimua mamluki walionunuliwa na Nape kwa nia ya kukichafua CHAMA!
 
Waanze na katibu mamluki mwenye uanachama wa vyama viwili.Halafu waje kwa Heche asiyefanya kazi zake bali kuwa bendera wa Viongozi wa chama

Waacheni Chadema kaa na upumbavu wako .Heche no real Chadema sawa na Slaa na wanakubalika Ila vibaraka wa CCM it is about time for them to go .
 
Waanze na katibu mamluki mwenye uanachama wa vyama viwili.Halafu waje kwa Heche asiyefanya kazi zake bali kuwa bendera wa Viongozi wa chama

Mfukuzeni JK, Mwakyembe, Sitta na Nape Nauye waanzilishi wa CCJ hawajarudisha kadi za CCJ
 
Naunga mkono hoja. Hata jimboni kwetu Ukonga kuna tetesi ya kiongozi mmoja wa Bavicha kununuliwa na uongozi wa CCM wa wilaya. Nasikia wanaandaa siku ya mapokezi yatakayoshirikisha viongozi wa wilaya wa CCM na hotuba yake ya kuitukana CHADEMA imeshaandaliwa. Sisi tunafuatilia suala hili kwa karibu.

Vile vile kinachotusikitisha ni kwamba, kabla ya kwenda CCM alienda makao makuu na kuchukua kadi 200 za CHADEMA, sijui wana malengo gani.

Hawa watu wanatusumbua sana ndio maana nasema nakubaliana na pendekezo la Saanane, hivi virusi viondolewe......

Aweda
Afadhali umeliona hili nakuomba ukiwa kama mjumbe wa Baraza kuu ulifanyie kazi hili swala la waasi.
 
Huyu Habibu Mchange na Shonza Juliana ni virus vinavyohitaji KASPERSKY.....

ongeza na Festo Sanga, Mtela Mwampamba et al. Hawa ndo kundi la watu wanaozusha habari za uongo na zisizo na ushahidi kwenye mitandao.
 
Ni vyema kweli kuwaweka kando mamluki walio ndani ya chama kwani wanafifisha nguvu ya mapambano ya kutafuta ukombozi wa taifa hili.
wamekuwa wepesi kununuliwa na magamba na kuyumbishwa na propaganda.....

Hiyo ndiyo njia pekee ya kisafisha Bavicha.John Heche aongoze jahazi la kufukuza hawa waasi ndani ya Bavicha.
 
ongeza na festo sanga, mtela mwampamba et al. Hawa ndo kundi la watu wanaozusha habari za uongo na zisizo na ushahidi kwenye mitandao.......

Nyalotisi asante kwa kuongeza jina la muasi mwingine.Kila anayejua muasi ataje jina hapa ili Bavicha walipate.
 
Ben
You have said all my brother.
Chadema huu ni wakati sasa wa kuwafukuza hawa waasi.Ni vizuri watimuliwe muda huu kabla hatujafanya uchaguzi wa ndani ya chama.

Hiki kikundi cha waasi kinajulikana kwa muda sasa kifukuzwe ili wapate muda mzuri wa kuitukana Chadema wakiwa huru kule CCM kuliko sasa wanavyoichafua Chadema kupitia mitandao.

Ni wakati sasa wa John Heche na kamati yake kuwafukuza hawa wahuni ndani ya Bavicha na chama kitamalizia......

Molemo tunakuaminia sana.Mshaurini Dr. Slaa asiwachekee hawa wajinga kabisa.Ben ameshaonyesha njia.
 
Mimi sihafiki kufukuza mtu chamani kabisa tunajua vijana wengi nikiwepo mimi tunakua na matamanio mengi sana ya kufanikiwa haraka kimaisha kupata pesa kuendesha gari nzuri,nyumba nzuri na vinginevyo.

Inawezekana kabisa mtifuano huu ulianza kwenye uchaguzi wa bavicha vijana mnawasema mwanzo walikua na malengo mazuri sana kwa chama nilikua nafanya research zangu toka 2010 kwenye uchaguzi misimamo yao ilikuaje.

Lakini baada ya uchaguzi wa bavicha msimamo ikabidilika vijana wawili mnawasema walikosa ubunge 2010 ukafuata uchaguzi wa bavicha ambao wengi wao wanalalamika hakua huru na wa haki rushwa ilitawala wengine wakafutwa majina.

Sasa kama tatizo lilianzia bavicha ina maana viongozi na wazee wa chama wanaweza kuwapa onyo kali kuwafutia vyeo vyao na wakabaki wanachama wakawaida tu ndani ya chama.

Ukipita kwenye post zao facebook utaona kuna chuki ya wazi dhidi ya Dr slaa,john mrema ipo chuki ya wazi kabisa inafikia kipindi mchange anahoji watu walioenda kwenye harusi ya john mrema kweli hii chuki ni mbaya sana.

Nakukumbusha tu ndugu yangu ben saanane chama kiliwafukuza vijana kina kafulila na wenzake tulipoteza seat tatu za bungeni ambazo zilienda NCCR.lazima tufanye uamuzi sahihi fukuza fukuza haisaidii kitu.

Hawa ni vijana wengi hawajafika 30 kuna muhemuko fulani wa matamanio wengi hawajapevuka vichwani kujua kwenye siasa lazima mshindi awepo.tunachopaswa kufanya ni kuwaweka chini kuwarudisha kwenye mstari.

Kumchafua katibu wako mkuu kina mchange na shonza na mwanampamba haitasaidia kujenga chama kwanini umebadilika baada ya uchaguzi wa bavicha mwanzo mlikua kwenye momentum nzuri sana.

Najua mtapita hapa ni wakati wa kurudi na kutulia vijana tujenge chadema imara sehemu zote kuna matatizo na tunapo yamaliza matatizo ndo tunasimama imara naombeni sana mrudi kundini.

Ikishindikana kubadilika chama kiwafutie vyeo vyao vyote ndani ya chama lakini si kufukuza mtu ndani ya chama narudia tena sio kuwafukuza ndani ya chama.mtoto akikunyea mkono unafuta au unaukata mkono.

Hawa ni vijana wazuri sana kama watarudi kwenye mstari na kusamehe yaliyopita na kuacha chuki za ajabu kwenye social network.chama kinawahitaji sana kina mchange,mwampamba na shonza nina uhakika wakirudi kwenye mstari watashinda majimbo yao.

Tunapofanya maamuzi tukumbuke ujana ni kipindi kibaya sana kwa mwanadamu kama utakupeleka vibaya waswahili wanasema ujana majimoto,hivyo tuwarudishe kwenye mstari hawa vijana ni kweli wanatukana viongozi wao lakini kuna tatizo wabadilike wapewe onyo na chama kisifukuze mtu.

Ujana maji ya moto kweli unaweza ukadanganyika kwa trip za nje,kupewa wanawake wazuri,pesa,gari,kazi ukasahau chama chako ccm haishindwi kukupa hivyo vitu wao si wana dola bana watashindwaje.

Fukuza haitajenga chama
Warudishwe kwenye mstari

N.B ujana maji ya moto tufanye maamuzi sahihi bila kumuonea mtu

Fred kavishe
 
Bavicha kuna uozo sana kwanza sijaona kazi walio ifanya mpaka sasa,mambo yote niheche pekeyake,viongoz wengind hata majina siwajui,heche analazimika kuzunguka nch nzima wenzie wamekaa tu.vijana wa Tz wanaijua BAVICHA?

Na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanadiliki kumtukana dr wazi wazi hivi watu wasio na nidham wana nafasi gani katika CHADEMA?timuwen wote wataka vyeo na waingia tamaa na wasaliti,Mbowe na Dr. Slaa ni majembe na wanaongoza vema ila kuna wajinga wajinga wanataka kufanya CHADEMA nikama CCM. Viongoz wajuu fukuzen hao bana maana huku mtaan CHADEMA nikila upande msihofu kuchukua maamuz magumu fanyeni kama katiba ya CHADEMA isemavyo CHADEMA ni chama tawala ifikapo 2015,ila tutapitia mabonde mengi sana tusife moyo ushind ushafika

Mkuu mbali na Heche muongeze Katibu mkuu wa Bavicha ndugu Deo naye ni mpiganaji hasa.
 
Naungana na kamanda Ben! Wasaliti wote niwa kufukuza ingali bado asubuhi, hatuwezi kuvumilia watu wachache wenye tamaa na vipande vya fedha wadhoofishe nguvu ya mabadiliko kwenye chama, wakizidi kuachwa watakuja kukiumiza chama zaidi kuliko wanavyofanya sasa kupitia vitabu vyao vya sura (FB). Hili limekemewa wakati unao faa, ni bora wachague pakwenda ili wachache tutakao baki tujue mkondo sahihi wa kukivusha chama.

Tumesha anza kuwatambua kwa matendo yao, wanazidi kujivua nguo, wamebaki watupu na tupu zao zina dondosha funyo wanao nuka harufu ya lile gamba, gamba chakavu lenye rangi ya kijani na picha ya jembe na nyundo, jembe kuzika fikra za mabadiliko na nyundo kupigilia msumali demokrasia ya kweli.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Asante sana Mtoi kwa andishi lako hili la thamani
 
Greenwhich
Asante sana kwa kuleta bandiko hili.Niliwahi kutoa mada hapa jamvini kuhusu uwezo wa Ben Saanane.Hakika nimefurahishwa na jinsi alivyotoa hili tamko kali bila kuangalia mtu usoni.

Chadema wakitaka kufika mbali inatakiwa wachukue maamuzi magumu tena sana.Chadema wanapaswa kujua kukamata ikulu sio kazi rahisi kama wengi wanavyodhani.

Inatakiwa Dr Slaa afuate siasa za Raila Odinga wa Kenya.Raila hacheki na kenge na ndiyo maana anaukaribia urais wa Kenya sasa.Wale wote waliokuwa wanakwamisha njia ya Raila hasa kwa usaliti walitupwa nje.

Chadema iachane kabisa na kulea wahuni,watu wajinga kabisa ambao vitendo vyao vinawastahili kufungiwa jiwe kubwa la kusagia na kutupwa baharini.

Fmpiganaji
Asante sana umetoa ushauri mzuri sana ambao inatakiwa akina Heche waufanyie kazi haraka iwezekanavyo.
 
Mimi sihafiki kufukuza mtu chamani kabisa tunajua vijana wengi nikiwepo mimi tunakua na matamanio mengi sana ya kufanikiwa haraka kimaisha kupata pesa kuendesha gari nzuri,nyumba nzuri na vinginevyo.

Inawezekana kabisa mtifuano huu ulianza kwenye uchaguzi wa bavicha vijana mnawasema mwanzo walikua na malengo mazuri sana kwa chama nilikua nafanya research zangu toka 2010 kwenye uchaguzi misimamo yao ilikuaje.

Lakini baada ya uchaguzi wa bavicha msimamo ikabidilika vijana wawili mnawasema walikosa ubunge 2010 ukafuata uchaguzi wa bavicha ambao wengi wao wanalalamika hakua huru na wa haki rushwa ilitawala wengine wakafutwa majina.

Sasa kama tatizo lilianzia bavicha ina maana viongozi na wazee wa chama wanaweza kuwapa onyo kali kuwafutia vyeo vyao na wakabaki wanachama wakawaida tu ndani ya chama.

Ukipita kwenye post zao facebook utaona kuna chuki ya wazi dhidi ya Dr slaa,john mrema ipo chuki ya wazi kabisa inafikia kipindi mchange anahoji watu walioenda kwenye harusi ya john mrema kweli hii chuki ni mbaya sana.

Nakukumbusha tu ndugu yangu ben saanane chama kiliwafukuza vijana kina kafulila na wenzake tulipoteza seat tatu za bungeni ambazo zilienda NCCR.lazima tufanye uamuzi sahihi fukuza fukuza haisaidii kitu.

Hawa ni vijana wengi hawajafika 30 kuna muhemuko fulani wa matamanio wengi hawajapevuka vichwani kujua kwenye siasa lazima mshindi awepo.tunachopaswa kufanya ni kuwaweka chini kuwarudisha kwenye mstari.

Kumchafua katibu wako mkuu kina mchange na shonza na mwanampamba haitasaidia kujenga chama kwanini umebadilika baada ya uchaguzi wa bavicha mwanzo mlikua kwenye momentum nzuri sana.

Najua mtapita hapa ni wakati wa kurudi na kutulia vijana tujenge chadema imara sehemu zote kuna matatizo na tunapo yamaliza matatizo ndo tunasimama imara naombeni sana mrudi kundini.

Ikishindikana kubadilika chama kiwafutie vyeo vyao vyote ndani ya chama lakini si kufukuza mtu ndani ya chama narudia tena sio kuwafukuza ndani ya chama.mtoto akikunyea mkono unafuta au unaukata mkono.

Hawa ni vijana wazuri sana kama watarudi kwenye mstari na kusamehe yaliyopita na kuacha chuki za ajabu kwenye social network.chama kinawahitaji sana kina mchange,mwampamba na shonza nina uhakika wakirudi kwenye mstari watashinda majimbo yao.

Tunapofanya maamuzi tukumbuke ujana ni kipindi kibaya sana kwa mwanadamu kama utakupeleka vibaya waswahili wanasema ujana majimoto,hivyo tuwarudishe kwenye mstari hawa vijana ni kweli wanatukana viongozi wao lakini kuna tatizo wabadilike wapewe onyo na chama kisifukuze mtu.

Ujana maji ya moto kweli unaweza ukadanganyika kwa trip za nje,kupewa wanawake wazuri,pesa,gari,kazi ukasahau chama chako ccm haishindwi kukupa hivyo vitu wao si wana dola bana watashindwaje.

Fukuza haitajenga chama
Warudishwe kwenye mstari

N.B ujana maji ya moto tufanye maamuzi sahihi bila kumuonea mtu

Fred kavishe

Fred Kavishe

Umeonyesha wewe ni mwanamapinduzi hasa.Nina swali moja kwako:Vijana hawa tayari upo ushahidi usio na shaka kwamba wamehongwa mamilioni ya Fedha kwa lengo la kuua chama na kazi ya kwanza waliyopewa ni kumuua kisiasa kiongozi namba moja tishio nchini Dr Slaa.Sasa nakuuliza Je,watu hawa waachwe tu wakamilishe kazi waliyopewa? Ukinijibu hili nitakuuliza lingine.
 
Pamoja sana kamanda Ben. Katika hili tuko pamoja sana mkuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Fred Kavishe

Umeonyesha wewe ni mwanamapinduzi hasa.Nina swali moja kwako:Vijana hawa tayari upo ushahidi usio na shaka kwamba wamehongwa mamilioni ya Fedha kwa lengo la kuua chama na kazi ya kwanza waliyopewa ni kumuua kisiasa kiongozi namba moja tishio nchini Dr Slaa.Sasa nakuuliza Je,watu hawa waachwe tu wakamilishe kazi waliyopewa? Ukinijibu hili nitakuuliza lingine.

Na mimi naomba nikuulize swali dogo kuna ushahidi wa wazi kuwa wamepewa pesa kama upo na wamepokea waitwe kwenye vikao vya ndani ya chama wakubali haya warudishe hizo pesa na wakubali kuacha upuuzi wao wa kuchafua viongozi ndani ya chama.

Ndo maana nikasema chama kina kamati ya ulinzi na usalama kiwaweke chini hawa vijana warudi kwenye mstari ikishindikana kabisa ndo wafukuze mimi naamini kuna wengi waovo sana lakini baada ya kukanywa kupewa ushauri mzuri wanarudi kwenye mstari
 
Naunga mkono hoja. Hata jimboni kwetu Ukonga kuna tetesi ya kiongozi mmoja wa Bavicha kununuliwa na uongozi wa CCM wa wilaya. Nasikia wanaandaa siku ya mapokezi yatakayoshirikisha viongozi wa wilaya wa CCM na hotuba yake ya kuitukana CHADEMA imeshaandaliwa. Sisi tunafuatilia suala hili kwa karibu.

Vile vile kinachotusikitisha ni kwamba, kabla ya kwenda CCM alienda makao makuu na kuchukua kadi 200 za CHADEMA, sijui wana malengo gani.

Hawa watu wanatusumbua sana ndio maana nasema nakubaliana na pendekezo la Saanane, hivi virusi viondolewe.

Anzeni na kile kirusi kilichokiri bado kinamiliki kadi ya CCM; msianze na matawi kateni shina ili mutibu ugonjwa!
 
Back
Top Bottom