kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,334
- 2,169
Yes treni lao la SGR linatumia masaa sita kutoka Nairobi hadi Mombasa...ushahidi ni hii video hapa chini mkenya mwenzao kasema wametumia masaa sita hapo dakika ya 3:26Leta video imefika 200 mm nifunge ACC forever 😅😅😅😅 ikiwa Mombasa to Nairobi 470km inachukua 6 hours ni sawa na average ya 80km/hr lini ilifika 200km na lini itafika hio speed
View: https://youtu.be/1x-uOPEQ8nE