ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 74,357
- 139,376
Upanga unaijua wewe vzr 🤣🤣🤣 upanga ni kubwa na ina density kubwa kusanya kilimani, Westland + upperhill kwa pamoja ndio utaweza walau kuinusa density ya upanga na hili nakwambia ni hakika nalo 100%I have the entire video and these are my take away points;
1. Upanga is not in the level of Kilimani. In Kenya it can only be compared with Pangani in Nairobi or Tudor in Mombasa.
2. No much housing construction activity is going on in Tanzania, from the entire video I have only seen two high rise buildings of 10 floors coming up. Now I know why most Tanzanians here doesn’t like it when Kenyans post housing projects coming up in Nairobi.
3. Most of the complete high rises are ugly. They are unoccupied, unattended and have started fading off their paints.
4. There are a lot of unfinished buildings around that place, what might be the reason? Is it lack of capital to finish the building or regulatory issues?
Eti mo more construction hujaiona hzo green nets kwenye video zilivotapakaa au video ww hufungui 😅😅😅😅😅😅😅
reason ya ugly, maneno ya mtu anaeumia na mwenye hasira Kali Sana 🤣🤣 na jamaa kaonesha hio video hata asilimia 20% ya upanga hajaimaliza