Hiyo ni mikataba ya kibiashara.
Waendeshaji wanapata faida pia sie wamiliki tunapata faida.
Tofautisha makubaliano na mikopo kama yenu na China.
Sie mradi tumeujenga kwa fedha zetu hivyo mkataba utakaosainiwa ni wa uendeshaji.
Sio kama ninyi vitu vya mkopo mpaka Mchina aingize faida ndio irudi kwenu.