Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najiuliza kodi huwa wanapeleka wapi hawa jamaa!?
Sipati jibu kabisa,kodi za raia wa Kenya zinatumikaje aisee!?
Kodi wanakula kina zakayo haya masenge ya humu yamebaki kuomba foreigners wawajengee, na mchina keshayajua haya masenge hayana pesa kwahiyo chochote yanachotaka atayapa mana anajua kitazalisha mara 100 ya uhalisia, makenya hayana akili kaka 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Lakini Kobe Stadium ipo 🀣 🀣 🀣 🀣
The only stadium ambayo mafans hawatakua wakinyeshewa na mvua. Zoea mapema. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Africa View Facts on X: Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ has initiated the construction of Talanta  Stadium in anticipation of the 2027 AFCON finals. Here is an artistic  rendering of the 60,000-seater Talanta Sports City
 
Leta evidence basi

Mlijaribu kujitutumua eti kujenga Talanta kwa pesa zenu through kdf baadae sijui nani aliwasanua mkajua kdf wamespecialize kwenye shoplifting tu na mambo ya ujenzi hawajui wala pesa ya kujenga hamna mkamkimbilia mchina atoe msaada, Mchina akasema atawasaidia kwa billion 800 na itakua mali yake kwa miaka 80 until further notice πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://twitter.com/KBCChannel1/status/1704057748617376021?t=4CbDDP9GZhjHUInhH4eixA&s=19


View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1765302835229392935?t=-H24d6SWYqUPd3fvFLJ0SA&s=19

Hakuna kitu wanachoweza kujenga kwa pesa yao hawa watu.
 
''Kiswahili haujui na kiingereza haujui'' πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Yako ndio sanifu sio. Nyani haoni kundule. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwamba umenisahihisha au.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nimekwambia wewe hauna unachojua, hata writing skills yako pia ni mbovu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Najiuliza kodi huwa wanapeleka wapi hawa jamaa!?
Sipati jibu kabisa,kodi za raia wa Kenya zinatumikaje aisee!?
Kwanza tueleze kwanini 40% ya budget yenu ni misaada. Jibu ni kwamba zile vipeni mnakusanya mnanunua ndege na treni za mtumba ambazo hazina faida kwa wananchi. Ni sawa na mtu anaenunua gari alafu analala njaa.
 
Back
Top Bottom