Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That is not below average, that is horrendous. This guy has never posted a single grammatically correct English sentence here.
Tangu ufukuzwe kule Nairaland na accounts zako 100; umekuja JF kufungua Accounts 20. Unajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe na ku quote comments zako mwenye. Huo ni upumbavu unaofanya. Unadhani kuna mtu hajui unachofanya?

You are embarrassing yourself.
 
That is not below average, that is horrendous. This guy has never posted a single grammatically correct English sentence here.
Ebu angalia English anaandika, ati “Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for Development? Hiyo ni English gani?

IMG_0125.png
 
Ebu angalia English anaandika, ati “Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for Development? Hiyo ni English gani?

View attachment 2942976
This is one hell of a dusty. Tunasemanga Wabongo hawajui English but Mbongo amemaliza high school hawezi shindwa kuconstruct simple sentences kama hizo. Huyu jamaa hata high school hajamaliza na kama amemaliza haikosi alikuwa anashikilia mkia.🤣🤣🤣
 
Ebu angalia English anaandika, ati “Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for Development? Hiyo ni English gani?

View attachment 2942976
Nikikufinya kidogo tu unaanza kulia. Pumbavu zako. Unanichukia huku unaendelea kufuatilia Comments zangu 🤣 🤣 🤣 🤣 Unajiona ulivyo stupid. Ukiacha kunifuatilia nawaangushia kipigo kizito.
 
This is one hell of a dusty. Tunasemanga Wabongo hawajui English but Mbongo amemaliza high school hawezi shindwa kuconstruct simple sentences kama hizo. Huyu jamaa hata high school hajamaliza na kama amemaliza haikosi alikuwa anashikilia mkia.🤣🤣🤣
Kingereza cha wakenya sasa?
Nashonaliteee, Endukashoni, Rilashoni 🤣🤣🤣Nyie hamjui Kingereza wala Kiswahili bali mnaonge Kikenya.
Tuliza shobo.
Leo Accounts zako zote utazitumia kuongelea Kingereza.
 
This is one hell of a dusty. Tunasemanga Wabongo hawajui English but Mbongo amemaliza high school hawezi shindwa kuconstruct simple sentences kama hizo. Huyu jamaa hata high school hajamaliza na kama amemaliza haikosi alikuwa anashikilia mkia.🤣🤣🤣
Mwenye ameenda shule unadhani anaezatumia picha ya mwanaume mwingine na kusema ni yake. The guy is even embarrassed with his own pictures.
 
Mwenye ameenda shule unadhani anaezatumia picha mwanaume mwingine na kusema ni yake. The guy is even embarrassed with his own pictures.
Usidhani mimi ni jobless kama wewe. Also usidhani kuwa mimi ni Nurse kama wewe 🤣 🤣 🤣
Mimi ninaweza kukufanya ufurahi au unune.
 
Huyu Sasa heri Samaboy maanake samaboy bado mtoto Mdogo mambo yake bado yanatengenezeka. Huyu ashakuwa loser kimaisha.🤣🤣
Huyo naye ni loser. Kuna siku pia alijaribu kudanganyana hapa ati ako na gari kumbe alikuwa amepewa tu lift na pastor akapiga picha akiwa amekaa kiti cha nyuma.

But most of these Tanzanians here are losers.
 
Back
Top Bottom