Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo naye ni loser. Kuna siku pia alijaribu kudanganyana hapa ati ako na gari kumbe alikuwa amepewa tu lift na pastor akapiga picha akiwa amekaa kiti cha nyuma.

But most of these Tanzanians here are losers.
Unakimbia kutoka kenya na kwenda kwenye Social Media za nchi nyingine if your not loser wewe ni nani? 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
SISI TUNATOA TAARIFA WITH EVIDENCES
1711221085022.png
 
Wale mnaodai kwamba Uwanja wa Arusha ni expensive sijajua kama mnataka tujenge kiwanja Cha kipuuzi kama Talanta ambacho ni expensive twice ya Arusha au?

Jiridhisheni hapa Kwa gharama za viwanja 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C419Ne_t98a/?igsh=MXJuajM5NzJvbTk1YQ==

Wamepigwa tena 😂😂😂😂😂 Naona Wizara imeweka gharama za kile kiwanja Cha Talanta kama Kobe Kwa bil.765 👇👇
View attachment 2942222

Hizi figures mlitoa wapi? Instagram? Kama hawajui hata jina ya stadium, watajua aje cost 😂😂
 
Back
Top Bottom