Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Onesha hata picha moja wakishika jembe kuonyesha ujenzi umeanza
Hehehehe, ugua pole. 🤣 🤣 🤣
GIn93NdXgAALfFo
GIn9tqeXkAAgPtQ
GIn-OPeWgAAPFto

Hiyo yenu uchwara ya 30,000 capacity ndio bado iko domo domo stage.🤣🤣
 
Kitu nimegundua kuhusiana na hii design ya huu uwanja wa Arusha ni kwamba wamelenga kufananisha na Tanzanite gamestone ambayo ulimwenguni kote unapatikana hapo Arusha tu, unaweza kuona kwa ukaribu hii design 👇View attachment 2938977View attachment 2938978View attachment 2938979..

Ila mimi nae nilitaka kupost picha moja ila nikajikuta Nimepost picha tatu 🤣🤣🤣 kiherehere hiki duh..

Mniwie radhi wanuka mavi or sorry nilitaka kusema northeners 🤣🤣
Kama Bernabeu mwanangu ❤️❤️😘😍🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥....

On the other hand, Talanta stadium 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240319-164052~2.png

Screenshot_20240319-163922~2.png
 
Sio mimi mzee, ni nyie, mngeweka running track hapo Talanta mngeweza pigana mkapata haya IAAF Diamond league series. Yakwamza Africa. Na mngeweza maana mngetumia leverage ya wakimbianaji wenu na mahusiano mazuri mliokuwa nayo na IAAF.

sasa kwenye rugby man leverage gani?? Timu yenu ya 15s ni mbovu!! Bora kwenye sevens kidogo ila huko pia mnajulikana kama wasimdikizaji tu!

Msipokuwa makini TALANTA will be a white elephant 🐘🤣🤣🤣🤣
Tuna Kasarani. Capacity 60,000. Iko na running tracks na imewai host hiyo IAAF games U20 in 2020. Sahii tunajenga kitu modern dedicated to field games which are Football and rugby. Our 15s rugby is number 33 in the world and number 3 in Africa - kama utasema hiyo ni mbovu sasa football yenu yenye ni number 119 duniani utasemaje?🤣🤣🤣 Usiforce tufanane. :cool::cool::cool:
 
Mzee, the winner 🏆 ni Sisi mzee, kwa mkapa kwenyewe hakujai kila siku maana ya uwanja mkubwa hivyo ni nini!?
Arusha ndo capital ya track athletics hapa Tanzania, lazima tuwafikirie na wao.

Huo Talanta mmekurupuka tu!! Viwanja vyenu hujaa wakati wa siasa Tu au na Diamond akija kupiga shoo huko🤣. Unafikiri rugby ndo itajaza huo uwanja!! Kwa mashindano gani!!

Cape town green point stadium wana struggle na wao wanahost 7s series. Nyie hapo je itakuwaje???
Hata tukisema mpira, kwa mpira gani Kenya!? Bora mngeweka running track mka leverage na mbio zenu!!

Ila mmebugi mzee! Mtaniambia!
Render aliyonayo KiberaWalker 🤣🤣
Screenshot_20240319-164052~2.png

Render aliyonayo Ruto🤣🤣🤣
Screenshot_20240319-164634~2.png
 
Mzee, the winner 🏆 ni Sisi mzee, kwa mkapa kwenyewe hakujai kila siku maana ya uwanja mkubwa hivyo ni nini!?
Arusha ndo capital ya track athletics hapa Tanzania, lazima tuwafikirie na wao.

Huo Talanta mmekurupuka tu!! Viwanja vyenu hujaa wakati wa siasa Tu au na Diamond akija kupiga shoo huko🤣. Unafikiri rugby ndo itajaza huo uwanja!! Kwa mashindano gani!!

Cape town green point stadium wana struggle na wao wanahost 7s series. Nyie hapo je itakuwaje???
Hata tukisema mpira, kwa mpira gani Kenya!? Bora mngeweka running track mka leverage na mbio zenu!!

Ila mmebugi mzee! Mtaniambia!
Viwanja vyao ni kwa ajili ya politics na crusade.
 
Kwa bei ya sasa hizi ni sawa tu mzee , naona pia wanajenga na uwanja wa mazoezi naona kama na indoor stadium pembeni , unless wasifwate render , hyo ni kama 110mil usd , Uwanja wa Tottenham hotspurs unabeba 65k people na umecost 10x about 1bn usd
Sema kwa b286 tumepigwa na kitu kizito
 
Mzee, the winner 🏆 ni Sisi mzee, kwa mkapa kwenyewe hakujai kila siku maana ya uwanja mkubwa hivyo ni nini!?
Arusha ndo capital ya track athletics hapa Tanzania, lazima tuwafikirie na wao.

Huo Talanta mmekurupuka tu!! Viwanja vyenu hujaa wakati wa siasa Tu au na Diamond akija kupiga shoo huko🤣. Unafikiri rugby ndo itajaza huo uwanja!! Kwa mashindano gani!!

Cape town green point stadium wana struggle na wao wanahost 7s series. Nyie hapo je itakuwaje???
Hata tukisema mpira, kwa mpira gani Kenya!? Bora mngeweka running track mka leverage na mbio zenu!!

Ila mmebugi mzee! Mtaniambia!
We already have an athletics stadium, Talanta Stadium will be one of the few proper football stadium in Africa. 😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom