Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi South
IMG_20240116_125447_341.jpg
IMG_20240116_125454_910.jpg
 
Kama the problem has been solved Na Ni nyinyi mlianzisha hiyo sii kunyoosha mikono?😂😂
mlipokataa cargo yetu kutua tukafungia scrapers zenu,kama kunyoosha mikono tusingereact kufungia scraper zenu,tulireact vile kutokana na roho mbaya zenu baada ya hapo mkaona kitawaramba mudavadi akipiga simu kwa mama aipokelewi wa kwa VP akaona amrukie makamba,sie ni viburi zaidi yenu
 
mlipokataa cargo yetu kutua tukafungua scrapers zenu,kama kunyoosha mikono tusingereact kufungia scraper zenu,tulireact kutokana na roho mbaya baada ya hapo mkaona kitawaramba mudavadai akipiga simu kwa mama aipokelewi wa kwa VP muhongo akaona amrukie makamba,sie ni viburi zaidi yenu
Huwa hamna diplomacy. Mnapenda kupiga kelele ndio msikike mababe. Mambo ya kutoelewana yapo Sana kwa biashara Ila nyie likitokea jambo kama hilo mnapiga kelele jinsi mlivyodeal nalo halafu mnarudi kukubaliana. Hiyo contract hamjui nini kipo ndani na hata mkijua hamtoelewa maanake nyie Sio experts Ila government yenu kawaida inaona fursa ya kujionyesha kwa wananchi wajing jinsi ilivyo babe. Mnakuwanga na ufala Sana Na hizo loud declarations zenu.
 
Wabongo tumewazoea na hii tabia yenu ya kulialia kila mara. Hakuna vile tutawapea 5th freedom of air yet sisi ndio tulia apply wa kwanza back in 2021 na mukatuweka pending till date. Nyinyi munataka the same 5th freedom of air bila reciprocity. Hio hatuwezi kubali.
 
Kama kawaida they haven't read the MOU, wanakuanga bongolala sana, chochote their government says wanaamini ni ukweli. Hio 5th freedom of air right hawaipati untill ours is reciprocated. It's that simple.
 
hatuna tunachokipata hukokwenu,kwenye hili nyie ndie mtakaeumia imagine per week kq ina route zaidi ya 20 ndani ya TZ while ATCL huko kwenu route zake azifiki hata 10,halafu kama hamna cha maana mnachokipata huku mngekula kimya baada ya hii ban
 
Kama kawaida they haven't read the MOU, wanakuanga bongolala sana, chochote their government says wanaamini ni ukweli. Hio 5th freedom of air right hawaipati untill ours is reciprocated. It's that simple.

Mbona kama una lia!?

Hakuna cha MoU hapa, ishu ni kufungia tu mpaka kuwe na equal battle grounds in terms of air transportation.

Hizo ndege sio zenu.. Mtaambia nini mabwana zenu! At the end of the day you must give in with our requests. Otherwise muendelee kupigwa fine kwa wenye ndege zao. Watu wamewekeza pesa kwenye ndege nyie mnataka kuwapa hasara kwa ujinga ujinga wenu na chuki za kifala.

Zuieni cargo isitue naipori then tuone who plays the zero some game.
 
2024 Ni mwaka mwingine wa utalii:

Meli kubwa ya kifahari duniani, Norwegian Dawn, leo imetia nanga Bandari ya Dar ea Salaam ikiwa na abiria 2,200. Ni meli yenye urefu wa karibu viwanja vitatu vya mpira, kimo cha zaidi ya nusu uwanja, uwezo wa kuwa na watu ndani yake (wakiwemo wafanyakazi) jumla 2300 na ikiwa na vyumba vya kulala takribani 1,000 na maeneo mbalimbali ya kupumzika na burudani.

Na hii hatujamaliza. Mwezi Machi, 2024 meli nyingine za kifahari zinatua Bandari ya Kilwa.

1705406729545.png

1705406797435.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom