Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania consumer spending power is very low. No wonder the likes of Jumia, Bolt, Java, KFC can't survive there.

images (3).png
 
Your purchasing power ndio Iko chini. You like cheap and fake items. Jumia ilitoka Tz cause mlizoea kununua bidhaa kwa vibanda.
Sasa Tz utaifananisha na Kenya kwenye purchasing power? Mm huku mtaani huwa tunatumia neno Kenya au Ethiopia kama njaa, yani mtu akikuuliza 'oyaa vipi mwanangu una jero apo' ukimjibu 'kama Kenya mwanangu' au 'kama Ethiopia mwanangu' manaake hana kitu yani njaa tu.
 
Yule line 2 alikuwa ametumwa kuingamiza yanga.Kuna matukio matatu against Yanga. Alipeta ofiside ya mchezaji wa medeama maksudi,aliona ule mchezo hatari aliochezewa kibabage angeweza mshauri refa wa Kati kuwa ile ilikuwa straight red card,akarule out kuwa la kibabage ofside wakati ni halali.
Nakubaliana na wewe na tulijua mapema kwamba marefa wamehongwa, marefa wa kiafrika ni takataka. Kwanza mm nilikuwa sifatilii kabisa mpira wa kiafrika nmeanza kufatilia baada ya timu zetu kuwa zinafanya vizuri kimataifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom