Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Kenya
20230906_190044.jpg
 
And this is true nani wakumwambia ukweli mwigulu au nape au makamba?? Watu wamegeuka kua machawa na kazi ya chawa ni kusifia tu hata kama wanona tunaelelekea kwenye moto wao kusifia tu

Nchi haieleweki kabisaa na ukweli utasemwa kama kuna mazuri yatasemwa pia lakini kwa sasa nchi inayumba sana na huu ndio ukweli leo mtu anafunga kituo cha mafuta kisa anasubiri bei ipande alaf tuko hapa tunakenua meno sijui uchawa sijui nn

Alaf mwengine anaomba world bank 500m usd kwa ajili ya ku cover pengo la usd nchini serious??? Alaf ndio waziri wa fedha alaf tuko hapa tunakenua meno kabisaa eti tukae kusifia ??
Hela zote zile za mikopo wamepeleka wapi? Yaani hata $500 ni za kuomba kabla ya November??

Sio project kubwa yeyote mpya ikifanyika hapa.
 
And this is true nani wakumwambia ukweli mwigulu au nape au makamba?? Watu wamegeuka kua machawa na kazi ya chawa ni kusifia tu hata kama wanona tunaelelekea kwenye moto wao kusifia tu

Nchi haieleweki kabisaa na ukweli utasemwa kama kuna mazuri yatasemwa pia lakini kwa sasa nchi inayumba sana na huu ndio ukweli leo mtu anafunga kituo cha mafuta kisa anasubiri bei ipande alaf tuko hapa tunakenua meno sijui uchawa sijui nn

Alaf mwengine anaomba world bank 500m usd kwa ajili ya ku cover pengo la usd nchini serious??? Alaf ndio waziri wa fedha alaf tuko hapa tunakenua meno kabisaa eti tukae kusifia ??
Mzee baba upo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom