Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sura Ya Nchi 😂😂😂😂😂😂😂 Angalieni Chini hapo kabla hamjapewa yenye Make up na foundation 😂😂😂
IMG_6490.jpeg
IMG_6489.jpeg
 
Wakenya ni wachafu sana, haka kaghorofa walijengewa na foreigner lkn wanataka na mazingira ya kuzunguka haka kaghorofa wajengewe na foreigner, haka kaghorofa miaka nenda rudi kanazungukwa na ushuzi, hawawezi kupiga hata picha kamili, utakuta wanapiga picha nusu alafu wanawaongopea wanaijeria kule SSC, sisi huku waliacha kukapost mana tunajua mpaka rangi za chupi zao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_6489.jpeg
 
Back
Top Bottom