dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
zikusanye kwanza zote ukiwa field, kuzipeleka bank sio issue, tutaenda tu baadae, hakuna mbioSafi sana, ila uwe unahifadhi pesa bank na co kwenye Kibubu kama unavyofanya.
zikusanye kwanza zote ukiwa field, kuzipeleka bank sio issue, tutaenda tu baadae, hakuna mbioSafi sana, ila uwe unahifadhi pesa bank na co kwenye Kibubu kama unavyofanya.
Nafarijika kuona the Kingdom of Africa (DRC) hawana deni kubwa 🙌. God Bless Tanzania, God Bless DRC, God bless Africa.
Sio mwakani, ni mwaka huusiku hzi muko busy na siasa za tanzania munasahau mwakani lazima muchinjane kwanza
Kwani consumption ni ya transit kilaza?. kiswahili mtaandika tu, mtajitetea kwa lugha zote ila ukweli utabakia pale pale.., alafu unatumia statement ya a CCM politician for data 😂 😂 😂 😂 😂 ., lazima evidence iambatane na mnachodai., kwani gari zenu zinatumia maji? ama gesi? 😂 😂 😂 😂 😂 ..,Haibadilishi ukweli, sababu topic sio mafuta bali gari, mafuta sio kwa magari tu, kwanza Tanzania ndio yenye storege kubwa ya mafuta ukanda huu, nina uhakika hayo mafuta mlioesabu mpaka ya intransit yamejumuishwa
View attachment 2088057
Wee zuzu kabisa, hujiulizi kwa nini umeme wenu uko juu?Fuel consumption between Kenya na Tanzania yenye wanajidai wako na magari mengi mno..., 😂 😂 😂
View attachment 2088010
View attachment 2088014
Kenya
View attachment 2088012
View attachment 2088015
View attachment 2087936
For Kenya posted data ni ya diesel na gasoline while in Tz wameweka total ya all petroleum products consumption na bado!!!
View attachment 2087938
Always smartKatika watu ambao hawawezi kumsahau Magufuli ni Wakenya, Kuna wale ambao walimpenda Sana Magufuli kuliko watanzania kwa jinsi alivyowatetea wanyonge (Hawa ni wakenya wengi wa hali ya chini), na wachache wanamchukia kwa jinsi alivyo "outsmart" utawala wa wakenya na kuipaisha Tanzania, Hawa wanaonyesha kufurahisha Sana na kifo chake, hadi Sasa machungu hayajawatoka
eti unidake mimi.. maombi yangu wachana nayo. uhandisi huu mwaka sio mchezo babake. i can proof you wrong masera. narudia tena maombi, 'huu mwaka hakuna kuguza salo katika jina la yesu'Kwenye maneno 100 ya mkenya....... uyu hapa View attachment 2088061View attachment 2088062
Duuhh yan bado unalinganisha ubora wa hospitals kati ya Tz na Kenya?So what?.., just a referral by a Dr, Nice, and the services are good, possibly cheaper pia na it is a sponsored mission, itabidi aende anako elekezwa, alafu lazima aseme uzuri wa services, so wewe unafikiria ina maanisha Tz ndio kuko heart surgery bora zaidi EAC kwa ajili ya hii clip?., "my penis is bigger than yours" child mentality, mzee bana .,
Tanzania ni bara na visiwani....hiv hii ishu ya magari, mnaisemea Tanzania bara tu peke ake au hadi Tanzania visiwani Zanzibar? yani Bara na Zanzibar zipitwe na Kenya kwenye idadi ya magari? kuweni serious bas!
kukua juu sio hoja, imefanyika tu hivi majuzi alafu sio juu sana to make any difference.., tofauti na Tanzania ni kidogo sana..,Wee zuzu kabisa, hujiulizi kwa nini umeme wenu uko juu?
Ndiyo ukweli huo, huwa anaongopewa kirahisi sn.Huyo jamaa namfananisha na maharage ya Mbeya, maji mara moja.
Sorry kwa kusema hivi ila huo ndio ukweli halisi.
eti unidake mimi.. maombi yangu wachana nayo. uhandisi huu mwaka sio mchezo babake. i can proof you wrong masera. narudia tena maombi, 'huu mwaka hakuna kuguza salo katika jina la yesu'
Mikenya humu jukwaani ni mifukara sana ila inapenda kujitutumua matokeo yake yanaangukia pua kama hivi
Yote hii ni baada ya Simon kuwapa kionjo cha maisha yake
Muonezikusanye kwanza zote ukiwa field, kuzipeleka bank sio issue, tutaenda tu baadae, hakuna mbio
noted: NDINDA na @thebest007. ntarejea. i ll proof u wrong u pipo. yangu sio panganga. mafala hii. ntawahaibisha nyie watuWa kwanza
1. last time showing my personal Belongings, next time you ask me hata ukucha sionyeshi.
Wa Pili.
2. Mwaka huu ni Marupurupu tu hakunakugusa mshahara ,
kumbe kadownload facebook. bora wale wanadownload hela Forex.
View attachment 2088121
ichoke kwa nini..? mi ndo nimekua wa kwanza kupost hii southern bypass last week baada ya muda mrefu, hata hii barabara wengi wenu hamuijui,. ata hadi ichoboy akadhani eti southern bypass iko Busia border.
nb: hii superhighway, ndio ilio na interchanges mingi zaidi ya kukata na shoka kuliko barabara ingine yoyote ile. hii ndio barabara SSH aliitumia alipo zuru kenya mwaka jana, sababu mombasa rd was under heavy construction due to expresswy. naskia SSH ali tii barabara yenyewe
Exactly, that's our end goal.A Town in the jungle
Acha kucheza rafu we boyaFuel consumption between Kenya na Tanzania yenye wanajidai wako na magari mengi mno..., 😂 😂 😂
View attachment 2088010
View attachment 2088014
Kenya
View attachment 2088012
View attachment 2088015
View attachment 2087936
For Kenya posted data ni ya diesel na gasoline while in Tz wameweka total ya all petroleum products consumption na bado!!!
View attachment 2087938