So why is Tanzania so poor?
Me naona kama hamuijui historia ya Tz ni bora tu mnyamaze, au kama mpo hapa tubishane tuu na tusifikie muafaka sawa endeleeni kujifurahisha hamkatazwi .. by the way hii ndio historia ya viongozi wa tz mnaweza kifunza kitu hapa π. . . . . Mkitaka kujua kuhusu historia za maisha yetu, tuulizeni tutawahadithia .. sio mnahangaika kutusemea uongo uongo
Acheni kujisaidia kwenye flying toilets mnatuaibisha waafrika. Mnaacha lini!?Achaneni na yetu, tutaachana na yenu.
Naona Jamaa wanafanya utalii wa ndaniπmbona kama wajuba hawakusomi we mchuchu...View attachment 2036120
Hii Expressway si tutatesa nayo midanganyika! Look at that first picture. Epic!
Provided no danganyikan money will be used to repay it mbona unaumwa? Pilipili usioila inakuwashia nini?Here the Chinese tried ,
Tell them to do good finishing, pavements hapo chini ni muhimu provided that the whole thing is highly overpriced View attachment 2036210
Ila we jamaa ni chizi wewe, nakushangaasana, nakucheka mno na nakudharau pia, unavyopiga kelele eti Tanzania nature is taking care of us πππ haya maneno watakao kuelewa ni matahira wenzako tu,. Nikuulize maswali marahisi, kwahyo kwasababu ya nature basi mahindi, mpunga, mtama, mbogamboga, matunda n.k vinajiotea vyenyewe sindio.? ππ We wenzako wanakufira wewe si bure.. sisi na nyinyi wote tunaaardhi yenye rutba, ajabu ni kwamba sisi ndio wazalishaji na nyinyi ndio mnanunua mostly kutoka kwetu, yet unaita sisi malazy πππu must be fucking crazy, no wonder mnapewa misaada ya chakula na mataifa ya middle East.. huko kwenu hakuna chakula kwasababu nynyi ni wazembe, mmemuuzia ardhi mzungu azalishe chai na matunda akauze kwao, halaf Maskini wapumbavu wengi Kenya wakabaki na kulalama eti Tz inabebwa na nature.ππ Unafkiri mazao yanajipanda yenyewe mbwa wewe.? Kwamba yanajitunza yenyewe yakomae vizuri alaf sisi tunavuna tu.? .. watu wanawekeza nguvu, jasho, muda, pesa n.k kwenye kulima ili hatimae tupate mavuno mengi, tupate chakula, exra kuwaazia nyinyi wapuuzi Ili tupate fedha za kumsomeshea watoto na kulipa Kodi kwaajili ya taifa... Muache visingizio eti nature inatubeba .
Hiv kuna mtu humu ndani amewahi kulielewa hili chizi Don YF .. Angalia reasonings zake hapo juu, alaf eti linasema eti lina IQ kubwa πππ. Mamaake akiona huu upumbavu anaouongea mwanae hapa anaweza akamuachia laana, mana ni hasara tupuWao wakulima fukara hawapati faida yeyote ya maana wewe π π π π π pesa kidogo ya chumvi, mafuta na kuvaa tu., angalau., yaani uko na uelewa kidogo sana, when I say nature is taking care of u wewe umechukulia literal 100%.., kilaza kwa ubora wake π π π π π ., farming kwenu is subsistence kila eneo.., not mechanized at all, ufukara! Nikama wanyama pori tu, wanakula kisha wanapo kunya wanasambaza mbegu, na pale penye ardhi yenye rotuba yanamea bila matatizo, kisha mimea ama matunda yana sambaa.., hawana tofauti mbali na nyinyi., π π π π π π
Haya ndiyo mambo yanayoitangaza nchi, mnapokuwa mnatajwa tajwa namna hii jina linakuwa na utalii unakuwa.
Wakenya mtakua mnakuja bongo kupanda hvi vitu na electric train