Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 16,707
- 11,397
Story za tuta....ita peleka TandaleUnatambua kuna line ya kv 400 inakuja namanga ipandishe kenya ?
Kenya itauziwa umeme na Tanzania
Sasahivi Tanzania inazalisha 1601 MW
Ikiamua ku triple ikazalisha 4803 Mw inawekezana ndani ya miezi michache
Tatizo umeme wa gesi ni gharama kuliko Chanzo cha maji Kwahio itatumia chanzo cha maji
Mwaka huu bwawa likianza kazi jumla ya uzalishaji utafikia 3700 Mw