Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,639
- 22,060
Kuna sehemu niliona kuna jamaa kapost ethiopia imeomba itumie uwanja wa kasarani game yao na ghana kumbe alikua anadanganya au sijui ndio source zao za kibera!kupanda position kwenye ranking si mchezo.. hapo unapambana na mataifa yote dunian.. cha muhimu TaifaStars kushinda/kudraw mechi zote zinazotambuliwa na FIFA