Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,497
- 17,574
Magu alikuwa anajenga miji siyo kusubiri ijengeke uje kutangaza eti mkoa mpya au jiji ,yeye akitaka kujenga mji anafanya kweli,kwa hiyo chato ingekuwa sehemu yenye maendeleo chini ya magufuliTaja mkoa mmoja usikua wa maana tu-compare na Chato Region!