Inamaana all mines in lake zone huoni ama kujitoa ufahamu tuuWe kenge huwa kuna priority,ianze wapi afu wapi pafuate nk .Mume wenu mwendazake alitumia mamlaka vibaya.Ndio maana swali langu litasalia pale pale,kwa zile Takwimu sgr inaenda Mwanza kubeba nini? Punda au dagaa? Hakuna kitu huko