Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miradi mingi ni kwa pesa za ndani mzee, hatusemi kama nyie, nyinyi mnajua tu akina SGR na expressway, Lamu port imejengwaq na pesa ya nani? mchina ama mzungu? ata kama ingekua mkopo, pesa ni ya kenya kwa vile sio msaada., Kenya sio size yenyu., you don't have the magnitude of programs and projects to the local levels as Kenya's., mnajua tu zile zenyu kubwa ambazo CCM wanatumia kama propaganda ili waendelee kuwatawala.., but what Kenya is doing is both macro and micro in equal measures.., the reason local govt budget is huge, education is by far bigger than any of your sector,., kuna programs running., Tanzania mko level moja na Mozambique, Rwanda na Malawi, bado mnajenga miundo mbinu, u still don't have muscles to run other sectors sufficiently.., revenue ni kidogo, budget ni ndogo ilhali revenue is not even half of it!!., mko ovyo sana,..,
Mngekuwa mna uwezo wa kuimplement miradi mikubwa na ku-run sector nyingnine effectively huyo bwege wenu asingekuwa anazunguka duniani na bakuli la kuomba misaada na mikopo. Amekuwa omba omba kupita kiasi. Na shukuruni world bank & imf kuwakopesha fedha nyingi kwa ajili ya kupambana na covid. Fedha za mkopo kwa ajili ya kupambana na covid ndizo mnatumia kwenye miradi mingine. Isingekuwa covid money mngekuwa na hali tete kiuchumi na miradi yenu mingi ingekuwa halted.
 
Mnavyopenda sifa za kijnga muwe na miradi mingi halafu msipost hapa! Acha utani kabisa.
Mombasa alone has more projects than entire Tanzania.

Kipevu oil terminal
Dongo kundu phase 2

IMG_20210805_110721.jpg

IMG_20210805_110502.jpg

IMG_20210805_110512.jpg

IMG_20210805_110446.jpg
 
Mngekuwa mna uwezo wa kuimplement miradi mikubwa na ku-run sector nyingnine effectively huyo bwege wenu asingekuwa anazunguka duniani na bakuli la kuomba misaada na mikopo. Amekuwa omba omba kupita kiasi. Na shukuruni world bank & imf kuwakopesha fedha nyingi kwa ajili ya kupambana na covid. Fedha za mkopo kwa ajili ya kupambana na covid ndizo mnatumia kwenye miradi mingine. Isingekuwa covid money mngekuwa na hali tete kiuchumi na miradi yenu mingi ingekuwa halted.
We unaongea nini mzee, yani mumeanza kujenga miundombinu karne hii basi mnajikuta wa sayari nyingine..
Nyie semeni ndio mumezinduka sai
 
SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210717-233014.jpg

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom