Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Our drainage systems are clean you can even ride a bike in them but pot holes in your roads make driving almost impossible
Hakuna siku utapata pot holes in Nairobi CBD. Unfortunately that can't be said of Dar is slum roads ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Screenshot_20210801-135251.png

Screenshot_20210801-130935.png

Screenshot_20210801-135040.png

Screenshot_20210801-135240.png
 
Na ukitumia hizi fikra zako utasemaje kuhusu Tanzania? bro si basi mko ovyo zaidi ya Kenya mara mia?, mko way below, kumbe haujiangalii.., madeni yenyu ya nje ni kubwa sana kuliko internal debt zaidi ya mara mbili!! Yaani external debt yenyu ni 71% na ya ndani ni 28%., nchi imehara soma this excerpt from your newspaper during budget;

"...Finance minister Nchemba told Parliament last week that the Tanzania governmentโ€™s debt stood at about Sh61 trillion as of April 2021 โ€“ constituting Sh43.7 trillion in external debt, and Sh17.3 trillion in domestic debt..." The Citizen Monday, June 14, 2021.

sasa google ujionee ya Kenya., 51% external.., nikisema Tanzania ni taifa fukara mnasema nawadharau ila mimi naongea ukweli tu..,
Ww hukuwai kuongea chaman kusu uchumi...rudi ukajipange upya ...
 
Na ukitumia hizi fikra zako utasemaje kuhusu Tanzania? bro si basi mko ovyo zaidi ya Kenya mara mia?, mko way below, kumbe haujiangalii.., madeni yenyu ya nje ni kubwa sana kuliko internal debt zaidi ya mara mbili!! Yaani external debt yenyu ni 71% na ya ndani ni 28%., nchi imehara ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ soma this excerpt from your newspaper during budget;

"...Finance minister Nchemba told Parliament last week that the Tanzania governmentโ€™s debt stood at about Sh61 trillion as of April 2021 โ€“ constituting Sh43.7 trillion in external debt, and Sh17.3 trillion in domestic debt..." The Citizen Monday, June 14, 2021.

sasa google ujionee ya Kenya., 51% external.., nikisema Tanzania ni taifa fukara mnasema nawadharau ila mimi naongea ukweli tu..,
Huwezi fananisha japan na kenya kwanza hilo tayar ni tango pori ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† japan iko miaka 300 mbele ya kenya hio dudu toa kichwani ww na wenzako wote

Japan haizungumzii maji wala afya wala barabara kwa sasa japan wanazungumzia kwenda mars

Tofaut ni kubwa sana sawa na mbingu na ardhi, akili kichwani ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Na ukitumia hizi fikra zako utasemaje kuhusu Tanzania? bro si basi mko ovyo zaidi ya Kenya mara mia?, mko way below, kumbe haujiangalii.., madeni yenyu ya nje ni kubwa sana kuliko internal debt zaidi ya mara mbili!! Yaani external debt yenyu ni 71% na ya ndani ni 28%., nchi imehara soma this excerpt from your newspaper during budget;

"...Finance minister Nchemba told Parliament last week that the Tanzania governmentโ€™s debt stood at about Sh61 trillion as of April 2021 โ€“ constituting Sh43.7 trillion in external debt, and Sh17.3 trillion in domestic debt..." The Citizen Monday, June 14, 2021.

sasa google ujionee ya Kenya., 51% external.., nikisema Tanzania ni taifa fukara mnasema nawadharau ila mimi naongea ukweli tu..,
Unachanganya concept...kudaiwa deni kubwa la nje sio shida swala je deni hilo ni himilivu?....Tatizo ni kuwa na deni kubwa la nje ambalo sio himilivu mfano nyie mafalamnga mna approach 90 soon...uko apa unaongelie kusu deni la tz ambalo lina approach 50...huoninuko na mtindio wa akili....hao USA , JAPAN wako na deni zaidi ya GDP lkn deni lao ni la ndani so lina himilika...huwezi jifananisha na nyie katu...nimemsikia rais wenu akiongea na BBC akijilinganisha na wababe wa dunia ni ujinga
 
Huwezi fananisha japan na kenya kwanza hilo tayar ni tango pori ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† japan iko miaka 300 mbele ya kenya hio dudu toa kichwani ww na wenzako wote

Japan haizungumzii maji wala afya wala barabara kwa sasa japan wanazungumzia kwenda mars

Tofaut ni kubwa sana sawa na mbingu na ardhi, akili kichwani ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kenya external debt is 50% of the total debt while Tanzanian external debt is 71% of the total debt. Ona venye Kenya is way better than Tanzania ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Kwani watanzania hawataki Kenya ilipe Deni?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ I don't know why inawauma kuona nchi tajiri kama Kenya inalipa Deni zake on time. Ama wanataka tushindwe Kama hao?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ilipe deni kwa nani ikiwa inakopa peter kulipa paul ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Kenya external debt is 50% of the total debt while Tanzanian external debt is 71% of the total debt. Ona venye Kenya is way better than Tanzania ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Uzuri wa external debt za tanzania most are from world bank ambayo ni soft loan interst ndogo sana na payment period ni kubwa sana umeona tofaut ya mlevi na mwenye akili ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Back
Top Bottom