Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ilipe deni kwa nani ikiwa inakopa peter kulipa paul 😆😆😆😆😆
Siku utaskia tumeshindwa kulipa Deni kama nyinyi usisahau kunitag tafadhali🤣😂😂
 
Uzuri wa external debt za tanzania most are from world bank ambayo ni soft loan interst ndogo sana na payment period ni kubwa sana umeona tofaut ya mlevi na mwenye akili 😆😆😆😆😆
lakini hiyo pesa yote going out of the economy in relation to your GDP ni mingi mno hata waki wahurumia na kuondoa interests zote!!., ilhali what will remain in Kenyan soil is over Ksh3T., yaani zaidi sana ya pesa zenyu mnazopeleka nje!., and who told you kwa deni ya Kenya hakuna soft loan ya IMF na World bank?., za China hazifiki ata nusu yake., so in comparison mko hovyo zaidi kwa ujumla.,
 
Asante kwa picha za miaka zako[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Uchafu ni jadi ya mkenya mbn hatushangai, kwanza vipi mliacha kukunya kwa mifuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku utaskia tumeshindwa kulipa Deni kama nyinyi usisahau kunitag tafadhali[emoji1787][emoji23][emoji23]
Eti bwana Mapesa mliacha kukunya kwa mifuko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwezi fananisha japan na kenya kwanza hilo tayar ni tango pori 😆😆😆 japan iko miaka 300 mbele ya kenya hio dudu toa kichwani ww na wenzako wote

Japan haizungumzii maji wala afya wala barabara kwa sasa japan wanazungumzia kwenda mars

Tofaut ni kubwa sana sawa na mbingu na ardhi, akili kichwani 😆😆😆
Nani kafananisha Japan na Kenya? wacha kukwepa ukweli na kajisababu uchwara 😂 😂 😂 😂 , hapa tunaongelea Kenya na Tanzania fukara., tofauti ya deni ya ndani na ya nje, inadhihirika wazi Tanzania kwa ndani ni fukara zaidi, uchumi hauna uwezo wa kukopesha serikali ya CCM pesa nyingi, inabidi mtemebeze bakuli IMF, World bank na China, kwa 71% of your total debt!!!.., alafu unaleta hapa nyef nyef zako.,mko hovyo kishenzi kaka😂😂😂😂
 
Hii picha mbona hamupost tena 😆😆 au mchina kashachanganya madawa tena
View attachment 1877491
Kuja pole pole nanii.., Mombasa bado iko jikoni inapikwa.., ngoja chakula kiive wacha kuonja onja bro😂 😂 😂 😂 😂
1627916263198.png

1627916294592.png

1627916487441.png

1627916044476.png


1627916027360.png
 
Hakuna mahali sgr deal itatajwa kesho na kagame, mark this post.

Wapi imeandikwa sgr hapo? Pili tumuamini Mwigulu au wewe Geza? Tatu rating kama iko juu mbona govt ina struggle kupata hiyo mikopo nafuu huko kwenye jamii za kimataifa? Mwisho wewe sio mpangaji wa bajeti za Kenya,watatumaje haukuhusu wewe hutowasaidia kulipa.

Ushazeeka akili sasa pumzika.


IMG_0696.jpg
 
a kenyan beats Yohan Blake! to emerge no.3 at 100M semi-final!.......... its just amazing
 
Na si hii 3level interchange inamuuma😂😂😂,ata haijamalizika na kilio imeaza😁
Wacha Ni zoom mlie vizuri
View attachment 1877550
Aawapi hilo daraja la juu linakaa pedestrian bridge! hapo ni 2 levels interchange plus a pedestrian overpass! 3 levels interchange haitaki upuuzi wa standard za Mchina! hainaga shortcuts!!
 
Hiyo ni pesa nyingi sana mnatoa nje ya nchi kulipa madeni.., so Kenya is way better than Tz, most of the money; yaani over Ksh3 trillion zitabaki Kenya, hiyo ni zaidi ya deni yenyu mtakayo toa nje ya nchi mnazo fikiria ni kidogo kuliko ya Kenya, so who is smarter now? it is economic wisdom to limit ouflow of cash from the economy., Kenya imewapiga bao hapa, tatu bila!!..,
Ndio nini "economic wisdom" in economics...pili jifunze kuelew basics akuna kitu inaitwa kulimit outflow bali control...alafu wacha kusoma namba kama unasoma kitabu....ni kweli pesa yenu iko na value over ours yes but haina ppp kubwa kama yetu...
 
Ndio nini "economic wisdom" in economics...pili jifunze kuelew basics akuna kitu inaitwa kulimit outflow bali control...alafu wacha kusoma namba kama unasoma kitabu....ni kweli pesa yenu iko na value over ours yes but haina ppp kubwa kama yetu...
Sasa tuongelee hapa EA, ni pesa gani ambayo ina purchasing power..
Ona mtu kupiga makona sasa
 
Back
Top Bottom