Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Seven Star. Vila Rosa Kempinski, nbi
nairobi24.jpg
 
Baada ya polisi kenya kunyimwa corruption ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Mzee bado unaamini hii ni bicycle lane ama akili zisharudiView attachment 1876655
Yani mzungu wa watu mnamdangaya mtaro wa mavi ni bicyle lane aki ya nani mbinguni hamuendi.View attachment 1876656
Huwa mkifinywa kunako mnabaki kuwawekea watu maneno ambayo hawajasema na hivyo ndivyo watu wenye akili finyu hufanya.

Ichoboy01 kapost hizi picha akaandika hivi.

Ni wapi ichoboy01 amesema hizo ni bicyle lane?
 
Kijana learn to analyse pictures, ukileta picha ambayo iko na caption inamaana umekubaliana nayo. Angekua na akili angefuta hio caption ama asilete hii picha kabisa.
IMG_20210801_194239_952.jpg
 
Back
Top Bottom