Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha upumbavu! Tanzania's credit rating ipo juu ya Kenya! Ningeona huo mkopo wa Kunyaland wa maana kama wangeenda kujenga kipande cha Naivasha-Kisumu-Malaba! Ila sioni impact yake maana wanachukua mkopo kipindi cha corona na kwa ujenzi wa highway wakati wanaendelea kusuasua kwenye ujenzi wa SGR ulioishia machakani!

Kwetu sie Samia anaenda Kigali kesho kusaini makubaliano rasmi ya electrical SGR Isaka-Kigali!









E7sVBHZX0AINnyy




Meanwhile the bag of goodies keeps coming!


Wapi imeandikwa sgr hapo? Pili tumuamini Mwigulu au wewe Geza? Tatu rating kama iko juu mbona govt ina struggle kupata hiyo mikopo nafuu huko kwenye jamii za kimataifa? Mwisho wewe sio mpangaji wa bajeti za Kenya,watatumaje haukuhusu wewe hutowasaidia kulipa.

Ushazeeka akili sasa pumzika.
 
ingekuwa kenya inakopesheka wangemaliza sgr yote mpka uganda mapemaa[emoji23][emoji23].. jamaa asubir aone jinsi sgr ya Makutupora-Isaka na Isaka-Kigali zitaanza kujengwa hata kbla hio ya kenya kuelekea uganda

pia kuhusu mikopo.. hao wakopeshaji wanakuwa wagumu au wanachukua mda mrefu kweli kukukopesha pale mradi unapokuwa unafaida kubwa kwa nchi inayotaka mkopo.. ila unapowaletea proposal ya mradi wa hovyo hovyo ambao unaweza kuwa chini yao kwa mda flan au ambao wenye inflated price wanakupa mkopo fasta tu
Labda miradi ya ppp ila miradi mingine ina unafuu kwenye masharti.Ni nchi ya kijinga tuu ndio inaweza kuacha kutafuta mikopo.

Tzn tuko mbali sana yaani natamani tukope hadi 80% ya GDP Ili tuikwamue Nchi kutoka kujikongoja na kwenda kwenye maendeleo ya ukweli.

Population inakua Sana kuliko kasi ya uchumi.
 
Wapi imeandikwa sgr hapo? Pili tumuamini Mwigulu au wewe Geza? Tatu rating kama iko juu mbona govt ina struggle kupata hiyo mikopo nafuu huko kwenye jamii za kimataifa? Mwisho wewe sio mpangaji wa bajeti za Kenya,watatumaje haukuhusu wewe hutowasaidia kulipa.

Ushazeeka akili sasa pumzika.
leta evidence serikali inapata ugumu kupata mikopo! Wacha upumbavu wewe, hiyo mikopo ya Kunyaland si migumu kupata hata kidogo na ndo maana Wakunya wanalalamika online!
 
leta evidence serikali inapata ugumu kupata mikopo! Wacha upumbavu wewe, hiyo mikopo ya Kunyaland si migumu kupata hata kidogo na ndo maana Wakunya wanalalamika online!
Wewe ndio mpumbavu kubwa jinga.Nimekuuliza tumuamini Waziri wa fedha au wewe tumbili Mzee?

Wewe umeweka evidence ya Tzn kuwa na credit rating kubwa kuliko Kenya au unaropoka tuu hapa?
 
35 [emoji1241] vs 33 [emoji1139] vs 31 [emoji1254] vs 33 [emoji1206]
 
Wazee wa kidimbwini wakicheza kata funua pale wanapotafuta taji kwa udi na uvumba!
 
Pinacle is the result of too much bureaucracy, too many court cases is what killed this project. The money was there but neighbours where malicious full of envy. The judge should have think about the impact of the project before barring construction.
 
Didn't know UDS,is that huge and developed
Not unuasual to hear that from a stupid kunyan! do u know that all of Mlimani city is under UDSM's land and UDSM is also a shareholder that will fully take over the premises in the future!
 
Back
Top Bottom