Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,712
- 107,153
Abeid Aman Karume International Airport
🙆♂️ 🙆♂️ 🤷♂️ 🤷♂️
Cabro huaga km wanajenga zinamwagiwa mchanga acha ushamba[emoji1787][emoji1787]U/C eehh maamaeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1876442
Mshamba hyo jamaaKama ungesoma ungejua pavers zinamwagiwa mchanga after kuwekwa.
Methuselah bana there's nothing you know about Nairobi, here is the same image of the place you are saying is not Nairobi.Hii picha si Nairobi kama unabisha leta picha zaidi ya hii sehemu!
Alafu eti ujenzi unachezea MITA kadhaaCanter inapita juu, hii yenu baskeli tu yote chiniView attachment 1876480
now show the other side!Methuselah bana there's nothing you know about Nairobi, here is the same image of the place you are saying is not Nairobi.
View attachment 1876683
nini maana ya gux? Graphical user Experience??
Methuselah bado unataka picha zingine?😂😂😂👇👇Hii picha si Nairobi kama unabisha leta picha zaidi ya hii sehemu!
nini maana ya gux? Graphical user Experience??
Wenye akili zao washajua 😆😆😆😆
Bado Methuselah atapinga😂😂😂
Wacha upumbavu! Tanzania's credit rating ipo juu ya Kenya! Ningeona huo mkopo wa Kunyaland wa maana kama wangeenda kujenga kipande cha SGR Naivasha-Kisumu-Malaba! Ila sioni impact yake maana wanachukua mkopo kipindi cha corona na kwa ujenzi wa highway wakati wanaendelea kusuasua kwenye ujenzi wa SGR ulioishia machakani!Nampa kongole uhuru,huku Tzn sio kwamba Serikali haitaki mikopo ila tatizo ni kukopesheka ndio shida nchi bado inachukuliwa LDC na wakopeshaji wanaona risk kwamba Tzn inaweza ku default..
Ndio maana Finance Minister alisema wanahangaika na rating agency zi upgrade credit rating yetu Ili Serikali itafute pesa za mikopo kufanya miradi mikubwa.Mia mia za miamala haziwezi kuivusha Nchi.
Ningekua na uwezo ningelike hii post mara mbiri. Umenana ukweli mtupu.Nampa kongole uhuru,huku Tzn sio kwamba Serikali haitaki mikopo ila tatizo ni kukopesheka ndio shida nchi bado inachukuliwa LDC na wakopeshaji wanaona risk kwamba Tzn inaweza ku default..
Ndio maana Finance Minister alisema wanahangaika na rating agency zi upgrade credit rating yetu Ili Serikali itafute pesa za mikopo kufanya miradi mikubwa.Mia mia za miamala haziwezi kuivusha Nchi.
Mpeni ulinzi Opportunity Cost manake usalama wake uko hatariniwacha upumbavu! Tanzania's credit rating ipo juu ya Kenya! Ningeona huo mkopo wa Kunyaland wa maana kama wangeenda kujenga kipande cha Naivasha-Kisumu-Malaba! ila sioni impact yake maana wakati wanaendelea kusuasua kwenye ujenzi wa SGR Samia anaenda Kigali kusini makubaliano ya electrical SGR Isaka-Kigali!
Pinnacle tower ilianza hivi kwa mbwembwe!