Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 16,707
- 11,395
Leta basis picha kama hiyo ya Umoja tuone hapa. Picha ya residential, si zile za cbd mnatuma hapa usiku na mchanaDo you really know the meaning of concrete jungle?
Leta basis picha kama hiyo ya Umoja tuone hapa. Picha ya residential, si zile za cbd mnatuma hapa usiku na mchanaDo you really know the meaning of concrete jungle?
malisa hiyo takataka ya manispaaUnajua nini wewe kwenye uchumi zaidi kunyonya makalio ya mkeo?
Amekosa jibu jiandaeni maana mombasa inakuja vibaya next tunafungua thread ya Dar vs mombasaUmepanic tayari
Hiyo umasikini unaongelea ilipimwa kwa kiwango cha dola tatu kwa siku na ndio tukapatikana watu 20.8m. Nyinyi kipimo chenu ni cha dola moja kwa siku na ndio mko watu 28m. Jiulize hali ingekuwaje kama mngepimwa kwa kiwango cha dola tatu kwa siku kama sisi. Vitu zingine ni kutumia tu akili, sio kutoa povu na kujifanya hamnazo!Unaongelea south africa ya nn wakat world bank wanasema muna umaskini kuliko zimbabwe 😂😂😂😂
Tunakuja, tuwaonyeshe ile kitu! 🤣 🤣 🤣
Hile umaskini yenye iko Tz ni ya kutisha, yani basi moja is being shared by Nursery school, primary school, secondary and college?😂😂😂🤣.
Kweli unaangaika🙄Hile umaskini yenye iko Tz ni ya kutisha, yani basi moja is being shared by Nursery school, primary school, secondary and college?😂😂😂🤣.
See how Kenyan school have big buses.
View attachment 1838468View attachment 1838469View attachment 1838470
Najua ukweli huwa inawauma. Hata tukiwa honest kidogo, how one bus be used by nursery, primary, second and college school? Ni pesa ndio mmekosa ama Nini?😂😂😂Kweli unaangaika🙄
Wewe umewahi kufika Tanzania? Maaana Kenya tunaijua vizuri kama ndio nitajie hata kituo kimoja usiandike upumbavu hapa🙂Kweli unaangaika🙄
Vitu vingine vinachekesha sana tazama ilo basi mtu anajisifu naloHile umaskini yenye iko Tz ni ya kutisha, yani basi moja is being shared by Nursery school, primary school, secondary and college?.
See how Kenyan school have big buses.
View attachment 1838468View attachment 1838469View attachment 1838470
Nitajie hata kituo kimoja cha stendi mkoa wowote ule 🙂usituletee bla bla hapa we pamoja na wakunya wenzako maana tunajua Hali yenu kwa ground 🙂Najua ukweli huwa inawauma. Hata tukiwa honest kidogo, how one bus be used by nursery, primary, second and college school? Ni pesa ndio mmekosa ama Nini?😂😂😂
which supplies during this corona time?US government explains why US military flight is parked at Nyerere Airport
The United States of America has explained the reasons for the country's military plane type C-17 Globemaster landing at the Julius Nyerere International Airport (JNIA) in Dar es Es Salaam.www.thecitizen.co.tz
Umeona🙂🙂🙂Vitu vingine vinachekesha sana tazama ilo basi mtu anajisifu nalo
KABIANGA SCHOOL, MY ALMA MATER✊💪Hile umaskini yenye iko Tz ni ya kutisha, yani basi moja is being shared by Nursery school, primary school, secondary and college?😂😂😂🤣.
See how Kenyan school have big buses.
View attachment 1838468View attachment 1838469View attachment 1838470
Hile umaskini yenye iko Tz ni ya kutisha, yani basi moja is being shared by Nursery school, primary school, secondary and college?😂😂😂🤣.
See how Kenyan school have big buses.
View attachment 1838468View attachment 1838469View attachment 1838470
Isuzu chassis sio?MOST SCHOOLS HAVE 2 OR 3 BUSES
BUT PRIMARY SCHOOLS ESPECIALLY DAY SCHOOLS HAVE MORE THAN 5.
A SCHOOL LIME MIREMA SCHOOL HAS AROUND 10 BUSESON DISPOSAL
View attachment 1838490
View attachment 1838491
Acha wajifurahishe 🤣🤣🤣Isuzu chassis sio?