Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 16,915
- 11,534
Tanzania ni nchi ya kuigwa? Mna nini ya kuiga nyie malazy? Hizi ni vitu zipo hadi uzunguni sasa sijui na wao kawaiga nyie!Mmewaiga watanzania kubrand shoeshiners hivyo
Tanzania ni nchi ya kuigwa? Mna nini ya kuiga nyie malazy? Hizi ni vitu zipo hadi uzunguni sasa sijui na wao kawaiga nyie!Mmewaiga watanzania kubrand shoeshiners hivyo
Tutasafisha mkishasafisha zile dream houses zenu kushoto kuliaHakuna cha sisi kujifunza hapo .. isafisheni barabara kwanza
Huwezilinganisha mtu ambaye anauza bidhaa kwenye mkeka na mtu ambaye amejijingea kibanda katikati mwa mji. Those are two different things.So ishu Ni muda au ishu ni hizo biashara holela?
Then hujaona watu wamepanga vitu Chini wanauza kwenye hiyo video ya kwanza na ya pili...what's difference na hicho ulichokiona Tz au kwakuwa hujaona miss ikiuzwa?
Hii ya matoroli ya maji ntatuma soon nilipiga mwenyewe na simu yangu pale Upperhill Crown plaza hotel kwenye Ile road pale Kati
Lane ngapi hizoThika Road Nairobi
View attachment 1780079
Kuna mji EAC unashinda ya maji kama Nairobi? All in all maisha yetu in most of towns in EAC na Africa hayana utofauti mkubwa so usiwapake watu matope Ili wewe uonekane msafi.Huwezilinganisha mtu ambaye anauza bidhaa kwenye mkeka na mtu ambaye amejijingea kibanda katikati mwa mji. Those are two different things.
Secondly, huyu wa kuuza chini (Nairobi) ako huko kwa masaa machache tu kila siku ila yule wenu amepiga kambi kule kijeshi!
Lastly, mbona usumbuke na selected cases kama hizo za muuza maji kama hata wewe mwenyewe uko na shida kuidhibitsha huku? Ingekuwa ni jambo la kawaida Nairobi picha kama hizo zingekuwa nyingi sana mitandaoni na hungekuwa na ugumu wa kuzipata. Pengine ni hiyo siku tu ndio ulikutana naye. Ungeona wako wengi huko na trolley zao za maji wiki nzima au mwezi nzima then it could have made some sense. Personally, I have never seen water venders in Nairobi cbd on trolleys
Quality in not measured in aesthetics bongolala. Quality is determined by the type of machines and quality assurance materials they have, as well as the manpower resource at their disposal. The level of government support and financing also matters. You can't do anything if you have none of this even if you are given twenty floors of glass façade. Tutawafundisha hadi lini?standard of quality in Kenya and Tanzania can be demonstrated by quality of their bureau of standards building
low quality standard
View attachment 1780469
high quality standard
View attachment 1780470View attachment 1780471
Unahisi hilo jengo la TBS lingejengwa bila ya kuwa na government support and financial supports?Quality in not measured in aesthetics bongolala. Quality is determined by the type of machines and quality assurance materials they have, as well as the manpower resource at their disposal. The level of government support and financing also matters. You can't do anything if you have none of this even if you are given twenty floors of glass façade. Tutawafundisha hadi lini?
Tanzanians must learn, akirudi tena mpuuze.Quality in not measured in aesthetics bongolala. Quality is determined by the type of machines and quality assurance materials they have, as well as the manpower resource at their disposal. The level of government support and financing also matters. You can't do anything if you have none of this even if you are given twenty floors of glass façade. Tutawafundisha hadi lini?
Unahisi hilo jengo la TBS lingejengwa bila ya kuwa na government support and financial supports?
Nairobi kuna shida ya maji but that's not reason enough ya kucreate your own stories and make it look like it's the gospel truth. I have lived in Nairobi for many years but I think I have been lucky enough to live in areas that do not experience this problem. Secondly, I have never seen water venders in Nairobi cbd on trolleys so wacha kulazimisha mambo kwa sababu umeshindwa hata kuthibitisha madai yako.Kuna mji EAC unashinda ya maji kama Nairobi? All in all maisha yetu in most of towns in EAC na Africa hayana utofauti mkubwa so usiwapake watu matope Ili wewe uonekane msafi.
Iwill share here..ipromiseNairobi kuna shida ya maji but that's not reason enough ya kucreate your own stories and make it look like it's the gospel truth. I have lived in Nairobi for many years but I think I have been lucky enough to live in areas that do not experience this problem. Secondly, I have never seen water venders in Nairobi cbd on trolleys so wacha kulazimisha mambo kwa sababu umeshindwa hata kuthibitisha madai yako.
Kuelimisha mitanzania ni balaa!, alafu wanasema hatuwapendi but ni fikra zao zinashangaza.,Quality in not measured in aesthetics bongolala. Quality is determined by the type of machines and quality assurance materials they have, as well as the manpower resource at their disposal. The level of government support and financing also matters. You can't do anything if you have none of this even if you are given twenty floors of glass façade. Tutawafundisha hadi lini?
Unajion kwenye pool of stupidity na Huyo mwenzakoKuelimisha mitanzania ni balaa!, alafu wanasema hatuwapendi but ni fikra zao zinashangaza.,
Precisely 😁😁😂And it dwarfs kibaha highway in tanzania
"A water bowser delivers water in the city centre."Kuna mji EAC unashinda ya maji kama Nairobi? All in all maisha yetu in most of towns in EAC na Africa hayana utofauti mkubwa so usiwapake watu matope Ili wewe uonekane msafi.
Yaani kiufupi wamekutana pipa na mfuniko.Unajion kwenye pool of stupidity na Huyo mwenzako
You didn't have to say that bro! Respect does not necessarily mean agreement.Take lessons lazy people, i spit on magu's grave.
View attachment 1780202
"A water bowser delivers water in the city centre."
Na ukumbuke ni mji wao mkuu!
Vipi kuhusu zile counties zingine zilizotelekezwa? View attachment 1780503