Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My friend weka matusi kando twende na facts. Watu wengi sana wameita watoto wao jina "Kenya". Kwanza black Americans wanapenda hilo jina sana. Jina Tanzania ni jina mbaya sana hakuna mtu anataka kuita mtoto wake hilo Jina.

Kenya Moore (Actress, TV personality)
View attachment 1685917

Kenyan Drake (American football star)
View attachment 1685918

Na kama bado unaleta ubishi tazama hii list

View attachment 1685920
Najua hamna comeback kwa hili. Hii itabidi mumenyamaza tu maana hakuna mtu yeyote mashuhuri anayeitwa "Tanzania".

Cc Naton Jr Geza Ulole The best 007 Venus Star kikihboy Coco Master komora096
Nishaona hata kipindi flani cha matukio ya kwel kuna mdada anaitwa kenyatta
 
Tafadhali usiingilie topic isiyokuhusu. Tatizo sio nani mwenye jina la “Kenya” Bali issue ni kudharau jina la nchi bila kujua Maana yake. But since you’ve brought it up, parents aren’t naming their children “Kenya” strictly because it’s the name of a country. The word Kenya also has roots in Hebrew and Japanese. So, do not feel so special because guess what? You aren’t!
View attachment 1685923
Hao jamaa waongo jamani
Jina la kenya lilikuja kivingine kabisa wao washaiba wakaweka maana..
Kweli watu wanajua kujituma

Eti kisha wameweka link yao www.babynames
 
Q
huwezi kukuta rangi ya mtume kunya

tutafanyaje sasa kwa taifa lilochanganya aina 4 za makabila ya africa +waarabu wahindi wareno waajemi wazungu waburush kwa miaka zaidi ya 250?

by the way huku unaoa au kuolewa na yeyote mradi mkubaliane tuu
ivii mshawah kujiuliza mama muhaya baba mmbulu? au mama mchaga baba mkurya?
je, baba pokot +mama kamba =Massey fagasoni

sasa nyie mikunya mnategemea nini kwa nchi isiokua na ubaguzi?

kula kwa macho inaruhusiwa sawa komora096 Teargass @simba254 MK254 Tony254 NairobiWalker View attachment 1685892View attachment 1685894
Mimi mwenyewe huaga wananikubali madem wa majirani zetu🤣🤣🤣🤣🤣 aafu Nina mwanya wa ukoo nimechanganya mbengu nzuri za kitanzania kuna siku mkunya mmoja Ka Mind Sana kisa dem wake kanizimia 🤣🤣🤣😭 kiukweli ni neema kubwa Sana kuzaliwa Tanzania hatuna mfano🙂
 
Unajiskia lakini ujinga wako ,sisi ni waswahili mzee yaani sisi tunaunganishwa na kiswahili yani wenye kiswahili chetu . Masuala ya ukabila uku hatuubiri babu after all lugha za makabila isn't applicable in this nowadays life labda uwe mganga wa kienyeji (whitch doctor).unajua kilichosababisha rwanda genocide.? Tatizo la uongozi wa kabila moja hapo kwenu je .? Unajua kuwa developed countries wako na makibila yao .? Have u ever heard them bragging about their tribes.? Tamaduni zetu zipo but sio kipa umbele ikija kwenye suala la utanzania wetu tz people are Swahili people
Wasu **** nao wanajiita waswahili
Dunia ina maajabu
20210125_191140.jpg
 
Q

Mimi mwenyewe huaga wananikubali madem wa majirani zetu🤣🤣🤣🤣🤣 aafu Nina mwanya wa ukoo nimechanganya mbengu nzuri za kitanzania kuna siku mkunya mmoja Ka Mind Sana kisa dem wake kanizimia 🤣🤣🤣😭 kiukweli ni neema kubwa Sana kuzaliwa Tanzania hatuna mfano🙂
Watanzania wale ambao mimi nawajua huku ni mahustler.
 
by the way ni jamii yetu , wapo wengi sana mwanza iringa tabora shinyanga daslam tnaishi nao kawaida na sikuzote wanajitambulisha kama watanzania
so rangi isikuogopeshe waswahili piwa hao!!
Kwn huku ndio hatuishi nao sio
Tatizo hapo mfumo wa elimu ndio unawafanya wenye hela kutusua
 
huwezi kukuta rangi ya mtume kunya

tutafanyaje sasa kwa taifa lilochanganya aina 4 za makabila ya africa +waarabu wahindi wareno waajemi wazungu waburush kwa miaka zaidi ya 250?

by the way huku unaoa au kuolewa na yeyote mradi mkubaliane tuu
ivii mshawah kujiuliza mama muhaya baba mmbulu? au mama mchaga baba mkurya?
je, baba pokot +mama kamba =Massey fagasoni

sasa nyie mikunya mnategemea nini kwa nchi isiokua na ubaguzi?

kula kwa macho inaruhusiwa sawa komora096 Teargass @simba254 MK254 Tony254 NairobiWalker View attachment 1685892View attachment 1685894
Full make-up
Huku kwetu hana namba huyo, nani wakufuata mtu wa nywele bandia
 
Back
Top Bottom