Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

409453_91ea8495519d718b155f23451b690849.jpg

Be a man.
 
Si hao wapuuzi wa hyo babyhomes 1996 ndio walianza huo upupu wao..
Eti majina ya wanawake eti especially in africa[emoji23][emoji23]
Yani watawazingua wajinga km wewe tu
Wewe Ndio hujaelewa labda. Neno “Kenya” liko kwenye lugha ya Hebrew na Japanese. Kwa hiyo ni kawaida Kwa neno Hilo kuwa jina la mtu kwenye lugha hizi. Usifikiri kuwa jina la nchi yenu ndio the reason behind the “Kenya” baby name. Ni jina ambalo limetoka kwenye lugha nyingine tofauti kabisa!
 
hakuna mkunya anajua rangi ya sheshe au rangi ya mtume make hakuna species za ivo kwenu
Navurugana na rangi zaidi ya hzo tangia utotoni, sio madrassa wala shule watu tumesoma na vitu wewe yani mpka nakushangaa unasifia make-up na mawigi[emoji23][emoji23]
 
Km hujui kitu kaa kimya tafadhali[emoji23][emoji23]
Kenyatta ni jina la mzee jomo
thibitisha kama yeye ndiye mtu wa kwanza kuleta hilo jina hapa duniani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo kabla yake hawakuwepo wakina kenyatta ....?

yaaani wewe kwa pointless mpo damdam kama tako na kinyesi
 
Wewe Ndio hujaelewa labda. Neno “Kenya” liko kwenye lugha ya Hebrew na Japanese. Kwa hiyo ni kawaida Kwa neno Hilo kuwa jina la mtu kwenye lugha hizi. Usifikiri kuwa jina la nchi yenu ndio the reason behind the “Kenya” baby name. Ni jina ambalo limetoka kwenye lugha nyingine tofauti kabisa!
Hakuna neno kenya hko uliko kutaja jomba, na artical yako imesistiza afrika[emoji23][emoji23]
Sasa tujuze afrika ipi hyo wanawake huitwa kenya
 
thibitisha kama yeye ndiye mtu wa kwanza kuleta hilo jina hapa duniani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hiyo kabla yake hawakuwepo wakina kenyatta ....?

yaaani wewe kwa pointless mpo damdam kama tako na kinyesi
Hakuna jina kenyatta kabla yake[emoji23][emoji23]
Tatizo ujuaji mwingi tu na wala hamjui lolote..upimbi tu
 
Navurugana na rangi zaidi ya hzo tangia utotoni, sio madrassa wala shule watu tumesoma na vitu wewe yani mpka nakushangaa unasifia make-up na mawigi[emoji23][emoji23]
wivu ,siku zote mwanamke akipitwa kila idara hasa ya urembo na mwanamke mwenzake basi roho humtoka kweli kweli....

hicho ndicho kilichokukuta,,wewe ni m'bovu[emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna jina kenyatta kabla yake[emoji23][emoji23]
Tatizo ujuaji mwingi tu na wala hamjui lolote..upimbi tu
evidence pliiiz,,,,,,,maana wewe ndiye unayejua sasa kilichobaki utuelekeze kwa vitendo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ili tusiojua tuweze kujua

au muhuni alinyambua neno "kenya" akaongezea tta. chap akapata kenyatta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Navurugana na rangi zaidi ya hzo tangia utotoni, sio madrassa wala shule watu tumesoma na vitu wewe yani mpka nakushangaa unasifia make-up na mawigi[emoji23][emoji23]
naona unalia 🤣🤣🤣🤣🤣 "all I can say chomoa nkupake mate
 
Back
Top Bottom