Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,012
- 11,698
kabisaKweli ni kuwaenjoy tu
Ukiachana na majengo ya idara na parastatals tofauti za serikali kutaanza muda wowote kuanzia sasa ujenzi rasmi wa maghorofa yenye zaidi ya 10 floors, majengo zaidi ya 25 ya wizara zote huko government city
Yaani wakae watulie sababu Tanzania sio ya kupitwa na Kenya kwenye chochote zaidi ya slums na njaa