Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,012
- 11,698
tunanyoosha tu kunguni wakikenyaAliyepewa kapewa tu
tunanyoosha tu kunguni wakikenyaAliyepewa kapewa tu
Unamanisha zinafika 40 Au
We hutumii hata ounce ya ubongo wako. Yaani IQ yako sijui hata nisemeje. Hii article tumeshaisoma sana wala huwezi kumdanganya mtu
Achana na hawa mibongolala. Hawana habari kwamba kenya has more pilots than their countryUkiambia ngombe kitu haisikiangi
[/URL]
Finally kibera amepata mpinzani wake anaitwa mukuru kayaba..huyu mukuru kayaba anakuja kwa kasi sana..
Mukuru kayaba is an upcoming slum in nairobi,east africa and the world at large,it is expected to reach 1mill slum dwellers next year
Aliyepewa kapewa tu
Unahisi vibaya sana kuona Nairobi ilivyopangwa vizuri wakati what you have down there is uswazi stretching several kilometres in the most confused manner. Pole pole mtafika tuWith 20 world-class slums
Mukuru kayaba
We jamaa ni mbishi yaani una talent ya ubishi,nairobi ni kama Dar es salaam tu yaani sehemu zilizopangika ni mbili tatu tu,haiwezekani ati mji uliopangwa uwe na heavyweight slum zaidi ya 15!!!..woow haijawahi tokea,ni nairo-slums pekeeUnahisi vibaya sana kuona Nairobi ilivyopangwa vizuri wakati what you have down there is uswazi stretching several kilometres into the most confused manner. Pole pole mtafika tu
Achana na hawa mibongolala. Hawana habari kwamba kenya has more pilots than their country
Imagine niliona ndege ikienda kutua JNIA inapita juu ya slums kubwa za Dar es Salaam for a whole seven minutes. That's a huge huge slum area when you factor in the speed of planes.Unahisi vibaya sana kuona Nairobi ilivyopangwa vizuri wakati what you have down there is uswazi stretching several kilometres in the most confused manner. Pole pole mtafika tu
Traffic jams are not things to be proud of ila wacha tu nikufurahisheEnyewe sisi wakenya ndo tukiona hivi kwa roads,ndo tunaamini nairobi kuna magari mob joh
Wacha ujinga wewe kumbuka kwamba Dar es Salaam ni 70% slum areas .We jamaa ni mbishi yaani una talent ya ubishi,nairobi ni kama Dar es salaam tu yaani sehemu zilizopangika ni mbili tatu tu,haiwezekani ati mji uliopangwa uwe na heavyweight slum zaidi ya 15!!!..woow haijawahi tokea,ni nairo-slums pekee
I saw that video too. Mji imetekwa nyara na dream houses that have been thrown left right and center in every small available space. Yani planning ni zero kabisa kule DarImagine niliona ndege ikienda kutua JNIA inapita juu ya slums kubwa za Dar es Salaam for a whole seven minutes. That's a huge huge slum area when you factor in the speed of planes.
Mnapenda kujitetea ujinga
Kwa hiyo waliosema kuna shortage ya mapai ni waongo au mmelipwa mkanushe.
Wew pia ni mpuuzi, ile habari imesema kenya in shortage ya kitu flani, afu mwenzako kaja kasema shortage haina maana kama shortage which is dumb, na wew uunatetea dumb az hell. Sibishani kama mnarubani au hamna mim nimecheka kwa yey kupnga maana ya shortage dumb azzWee ni mjinga, Kq has been running an AB Initio program for over 20 years, where hundreds of kenyas brightest students got full scholarships to study in SA and fly with Kq, when Kq's woes started most of them were poached by middle east carriers and europe.Kq is the only one facing shortage of pilots,Kenya as a country isnt.
Eti sehemu zilipangika ni mbili tatu tu? 😂 😂 😂We jamaa ni mbishi yaani una talent ya ubishi,nairobi ni kama Dar es salaam tu yaani sehemu zilizopangika ni mbili tatu tu,haiwezekani ati mji uliopangwa uwe na heavyweight slum zaidi ya 15!!!..woow haijawahi tokea,ni nairo-slums pekee
KQ ndio iko na shortage, not Kenya. Get the difference young man. Kenya ingekuwa na shortage ya pilots wale wenye wanaajiriwa nje wangetoka wapi? This year alone 130 pilots were poarched by European and Asian airlines from Kenya airways. Tatizo yenu ni ubishi
I saw that video too. Mji imetekwa nyara na dream houses that have been thrown left right and center in every small available space. Yani planning ni zero kabisa kule Dar