Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Finally kibera amepata mpinzani wake anaitwa mukuru kayaba..huyu mukuru kayaba anakuja kwa kasi sana..
Mukuru kayaba is an upcoming slum in nairobi,east africa and the world at large,it is expected to reach 1mill slum dwellers next year
IMG_20190906_143541_600.JPG
 
Unahisi vibaya sana kuona Nairobi ilivyopangwa vizuri wakati what you have down there is uswazi stretching several kilometres into the most confused manner. Pole pole mtafika tu
We jamaa ni mbishi yaani una talent ya ubishi,nairobi ni kama Dar es salaam tu yaani sehemu zilizopangika ni mbili tatu tu,haiwezekani ati mji uliopangwa uwe na heavyweight slum zaidi ya 15!!!..woow haijawahi tokea,ni nairo-slums pekee
 
Unahisi vibaya sana kuona Nairobi ilivyopangwa vizuri wakati what you have down there is uswazi stretching several kilometres in the most confused manner. Pole pole mtafika tu
Imagine niliona ndege ikienda kutua JNIA inapita juu ya slums kubwa za Dar es Salaam for a whole seven minutes. That's a huge huge slum area when you factor in the speed of planes.
 
Enyewe sisi wakenya ndo tukiona hivi kwa roads,ndo tunaamini nairobi kuna magari mob joh
Traffic jams are not things to be proud of ila wacha tu nikufurahishe
AoW76rjO0VFXeqW0wHpMppFcGTGnehuHoIIVxm7rqil.jpg
traffic(1).jpg
DNTHIKARD0609C.jpg
heavytrafficwithvehiclesmovingslowlyontheembunairobihighwayKKYDBA.jpg
trafficjam.jpg
traffic121014.jpg
Trafficjamoncityroad.jpg
ThikaHighway.jpg
DnJamThika1201.jpg
lynyvg0i2whcpqlc5ce7a073a65d6.jpg
UhuruHighwayII.jpg
AGONYPIX.jpg

Nairobi has bigger and better roads and that's the situation sometimes. It should tell which city between these two has more cars. 7,000 new vehicles are registered in Nairobi monthly. I doubt if Dar manages even 4,000
 
Imagine niliona ndege ikienda kutua JNIA inapita juu ya slums kubwa za Dar es Salaam for a whole seven minutes. That's a huge huge slum area when you factor in the speed of planes.
I saw that video too. Mji imetekwa nyara na dream houses that have been thrown left right and center in every small available space. Yani planning ni zero kabisa kule Dar
 
Mnapenda kujitetea ujinga
Kwa hiyo waliosema kuna shortage ya mapai ni waongo au mmelipwa mkanushe.


KQ ndio iko na shortage, not Kenya. Get the difference young man. Kenya ingekuwa na shortage ya pilots wale wenye wanaajiriwa nje wangetoka wapi? This year alone 130 pilots were poarched by European and Asian airlines from Kenya airways. Tatizo yenu ni ubishi
 
Wee ni mjinga, Kq has been running an AB Initio program for over 20 years, where hundreds of kenyas brightest students got full scholarships to study in SA and fly with Kq, when Kq's woes started most of them were poached by middle east carriers and europe.Kq is the only one facing shortage of pilots,Kenya as a country isnt.
Wew pia ni mpuuzi, ile habari imesema kenya in shortage ya kitu flani, afu mwenzako kaja kasema shortage haina maana kama shortage which is dumb, na wew uunatetea dumb az hell. Sibishani kama mnarubani au hamna mim nimecheka kwa yey kupnga maana ya shortage dumb azz
 
We jamaa ni mbishi yaani una talent ya ubishi,nairobi ni kama Dar es salaam tu yaani sehemu zilizopangika ni mbili tatu tu,haiwezekani ati mji uliopangwa uwe na heavyweight slum zaidi ya 15!!!..woow haijawahi tokea,ni nairo-slums pekee
Eti sehemu zilipangika ni mbili tatu tu? 😂 😂 😂
Unafikiri Nairobi ni kama Dar ambayo imepangwa mitaa za matajiri along the beach? The only estate iko well planned in Dar ni Msasani tu. Anyway here are some estates in eastlands. Nionyeshe ni wapi Dar imepangika hivi kama sio mitaa za kifahari
Screenshot_20190806-213042.png
Screenshot_20190806-213018.png
Screenshot_20190806-213131.png
Screenshot_20190801-115011.png
Screenshot_20190801-120101.png
Screenshot_20190812-111732.png
Screenshot_20190810-225422.png
Screenshot_20190801-132925.png
Screenshot_20190810-225643.png
Screenshot_20190801-120402.png
Screenshot_20190801-115541.png
Screenshot_20190806-213131.png
Screenshot_20190801-134655.png
Screenshot_20190801-135204.png
Screenshot_20190801-132330.png
Screenshot_20190811-010256.png
Screenshot_20190806-213506.png
Screenshot_20190801-135458.png
Screenshot_20190801-132701.png
Screenshot_20190801-132536.png

Na hizo ni Mitaa za eastlands tu; Kariobangi, Donholm, Komarock, Buru Buru, South C, Umoja, Embakasi... etc
Tuonyeshe sehemu Kama hizo Dar tuone
 
KQ ndio iko na shortage, not Kenya. Get the difference young man. Kenya ingekuwa na shortage ya pilots wale wenye wanaajiriwa nje wangetoka wapi? This year alone 130 pilots were poarched by European and Asian airlines from Kenya airways. Tatizo yenu ni ubishi

kweli we ni catoon lakimataifa sijawahi ona
 
Back
Top Bottom