Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,502
- 1,047
Godwin Gen: acha longolongo braza sio mara ya Kwanza m7 kutoa Hilo agizo hao pokoti amejaribu kuwazua kwingia kule kwake ameshindwa,huwezi linganisha pokoti bandits na mungiki utakua hujielewi.hawa wakenya ndio zao woga wa kusifu wahalifu, na hii tabia ndio iliyowalea mungiki. ngoja sasa uganda wawaoneshe dawa
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app